min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,782
- 165,435
Ila simba mwenda Pole ndie mla nyama mangiUpinzani unazidi kuwa mkali aisee! 😊
Ila simba mwenda Pole ndie mla nyama mangiUpinzani unazidi kuwa mkali aisee! 😊
Ba mtu mchokozi wewe.Mangi kama kuna mahali umetega ujue kuna vita kali sana inakuja...ongeza ulinzi bwashee!
mbona kama umepanic kwenye mada iliyojaa utani? Au nimekugusa penyewe?Nimewahi kukutana na wewe au unanitafuta?
Shida iko kwa wapi!!Bwashee, hali ni tete sana 😅
Ila simba mwenda Pole ndie mla nyama mangi
Nampa mangi ABC akae mguu sawa, vita imekuwa kali sana..Ba mtu mchokozi wewe.
Nakula pombe kwa utulivu snaa hapa ,nikifuatilia pambano mangiShida iko kwa wapi!!
Chororo si ndundu na ndundu si chororo😅Ha ha ha, kweli Mangi.
Sitaki nikujibu vibaya nakuheshimu holoholo🙌mbona kama umepanic kwenye mada iliyojaa utani? Au nimekugusa penyewe?
Hawajui mods wanatumia AI kusummurize ID's za watu ndo maana wiki 2 zilizopita Elevenn alipigwa ban na wenzake kwa uchochozi huu huu mtu anakwqmbia eti una ID's 10Nachukia sana mtu akisema I'd yangu Ina nyingine kwa sababu Huwa sipendi mambo ya kijinga pamoja na kupenda kuenjoy
Mangi amefanyaje?Nampa mangi ABC akae mguu sawa, vita imekuwa kali sana..
Nimeingia humu kujifunza na kuenjoy.Hawajui mods wanatumia AI kusummurize ID's za watu ndo maana wiki 2 zilizopita Elevenn alipigwa ban na wenzake kwa uchochozi huu huu mtu anakwqmbia eti una ID's 10
Nakuja tunywe wote 😝Nakula pombe kwa utulivu snaa hapa ,nikifuatilia pambano mangi
Kasema kuna mahali kawekeza, ila vita ninayoiona ni kali sana, awe makini tu!!Mangi amefanyaje?
Mambo ya kujivua gamba hayo na kuja ukiwa mpya sio
Waambie wasikuzoeeNimeingia humu kujifunza na kuenjoy.
Huo muda mchafu Sina.
Una uhakika unajifunza tu na kuenjoy😅😅😅😅Nimeingia humu kujifunza na kuenjoy.
Huo muda mchafu Sina.
Na mengineyo 😅😅Una uhakika unajifunza tu na kuenjoy😅😅😅😅
Hii imekaa very technical 😅😅Na mengineyo 😅😅
SAWA ila naomba utulie, huenda ukawa mkamwana wangu!Sitaki nikujibu vibaya nakuheshimu holoholo
Kama ni utani fresh