Tunasubiri mtu nusu fainali kwa raha zetu, kwao huyu anapigwa tenaaaa...
Nimefurahi tumefuzu mapema lakini kwa mpira tuliocheza leo tuna kazi ngumu sana nusu fainali, hakuna timu nyepesi kati ya zilizobaki.
nakubaliana na wewe mkuu kumbe hilo umeliona sasa waulize la liga na epl ipi iko top katika ulimwengu wa soka kwa saivi manaake washabiki wa man u hua wanaisifia sana english premier league lakini mimi nasema la liga achana nayo mziki mnene.Kombe la UEFA ni gumu sana.
Nafikiri ubora wake na ushindani wake ni mkubwa kuliko hata World Cup!
Japokuwa linafanyika kila mwaka lakini halichoshi kulifuatilia.
Huwezi kuamini hatua hii ya robo fainali hakuna hata timu moja ya Uingereza!!
Binafsi naogopa hata kutabili bingwa atakuwa nani, japokuwa Dortimond anastahili zaidi kuwa bingwa, maana mwanzo mwisho amekuwa akitoa dose hadi kwa timu vigogo.
Na mmoja wa vibonde hawa ni mbabe wa Barca.Vibonde kwa vibonde
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Malaga japo wengi mnamtoa lakini anaenda kupita kwa away goal mnamo tarehe 9 J4 vs BVB Borussia Dortmund