REAL MADRID VS GALASATARAY LIVE TO DAY NIGHT 9:45pm

REAL MADRID VS GALASATARAY LIVE TO DAY NIGHT 9:45pm

Pamoja na matokeo haya, mpaka sasa RM hawajanipa radha hasa ya ule mpira ulotegemewa.
 
gooooooooooooooooooaaaaaaaaallldakika ya 72 huiguan anaipatia real madrid goli la 3 akiunganisha free kick iliyopigwa na xiabi alonso
 
burak mchezaji wa gala anapewa kadi ya njano kwa kujiangusha eneo la hatari la real madrid dakika ni 77
 
dakika ya 79 real wanafanya mabadiliko anatoka ozil na anaingia luca modric
 
Haaaahaaaa barca funs bana ati tumeshinda mbili wanakumbushia jana ooh msiwaamini hao haya cha tatu tuwaamini
 
dakika ni ya 82 rmd 3 gala 0 gala
 
michel essien anapewa kadi ya njano kwa kumchezea vibaya mchezaji wa gala
 
dakika inayo kwenda ni ya 85 anaotka dimaria anaingia pepe
 
dakika ni ya 87 didier drogba anapewa kadi ya njano kwa kufanya foul
 
sergio ramos anapewa kadi ya njano dakika 89 kwa kuupiga mpira il hali refa alisha puliza kipenga kulitokea foul
 
free kick kuelekea real madrid inapigwa na drogba anpiga mpira inakua ni kona
 
dakika ni 90 na zimeengezwa 3 luca modric anapewa njano
 
dakika ni 93 goli ni 3-0 na mpira umeishaaaaaaaaa real madrid 3 na gatasaray 0
 
Vibonde kwa vibonde

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom