REAL MADRID VS GALASATARAY LIVE TO DAY NIGHT 9:45pm

REAL MADRID VS GALASATARAY LIVE TO DAY NIGHT 9:45pm

Mkuu chebi,tiririka mwanangu mwenyewe...niko mbali hata mungu hanioni huku. Vp game,?
 
Last edited by a moderator:
drogba anaangushwa chini hapa mpira kwae benzema ozil di maria
 
corner inapigwa kuelekea lango la real madrid
 
dakika 25 drogba anpiga bonge la shoot lakina mpiara unatoka nje
 
dakika ya 29 karim benzema anaipataia bao la pli real madrid pasi kutoka kwa essien
 
dany noukei wa galatasaray anapewa yellow card dakika 40 kwa kumchezea benzema foul
 
dakika 42 ya kipindi cha kwanza rmd 2 na galatasaray 0
 
lopez leo anaonekana yuko mkali sana ana panch mpira uliopigwa na mshambuliaji wa gatasaray ulikua ni mpira wa hatari dakika ni 45 kipindi cha kwanza
 
dakika 1 ya nyongeza kipindi cha kwanza
 
mpira ni half time mabao ni rmd 2 na 0 galatasaray
 
Rafael Varane!...Huyu dogo ni bonge la beki,ana mbio,mrefu na ana akili,sio kama Pepe..Nguvu mingi akili za mende,halla madrid!
 
naam kwa muktasar tu mpira uko half time mabao yakiwa ni rmd 2-0 gatasaray magoli yalitiwa kimiani na c.ronaldo dakika ya 9 na akipokea pasi kutoka kwa mesul ozil na kwa goli la pila lilitiwa kimiani na karim benzema akipokea pasi kwa michel essien mpita ni half time rmd 2-0 galatasaray
 
Back
Top Bottom