gpblaze
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 304
- 14
Tutakua pamoja leo katika janvi kukuletea update za uefa champions league live kati ya real madrid na galatasaray saa 3 na dakika 45 kwa saa za tanzania usikose ama kwa upande mwengine wa ustream ni hii hapa
Watch Football Online - FromSport - SportLemon.tv
View attachment 89053
Mbona hyo link nashnda ku load hyo match.na natumia simu ya kuweza kufungua hyo.na nina unlimited bundle