Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Isco...Anaujua mpira huyu dogo
Ngabu, este es Santiago Bernabeu, los catalanes no pueden à ganar nunca.
Hmmmmm! Kumbe eeh!!! aste aste ili usipitilize na kinywaji.
Shughuli imekuwa nzito kwao leo, ila bado kuna dakika nyingi lolote linaweza kutokea katika hizi 23 na ushee zilizobaki.
Suarez anarukaruka tu....
Barcelona wasipokuwa waangalifu wanaweza kupigwa mbili nyingine na hivyo kuwa kipigo cha uhakika.