barca ni wabovu kama simba
Barca wana sababu kwa nini wamefungwa maana wamefiwa na aliyekuwa kocha wao sasa kisaikolojia wako hovyo
​Pique anahojiwa anadai maamuzi hayakuwa ya haki, mi simwelewi
Madrid 3 - 1 Barcelona
Huwa nachukia sana pale ambapo timu ikishindwa kwa haki wanakuwa wagumu kutamka kwamba, "Leo tumezidiwa wenzetu walikuwa wazuri katika sehemu nyingi kuliko sisi hivyo walistahili kushinda."
Hawakuwa on top form. Period!Huwa nachukia sana pale ambapo timu ikishindwa kwa haki wanakuwa wagumu kutamka kwamba, "Leo tumezidiwa wenzetu walikuwa wazuri katika sehemu nyingi kuliko sisi hivyo walistahili kushinda."
Dah!!! Utabiri wako kiboko aisee, sasa kabla hujapanda kitandani hebu tutabirie mechi ya kesho kati ya Chelsea na Manchester United.
Pole sana labda kesho kutakuwa na ahueni 0-0 lol!!!
Isco ndiyo habari ya mujini. Hapa mbadala wa Xavi ktk timu ya taifa la Spain amepatikana.
Aisee mbona unaninyanyasa hivyo yaani kesho ntakutokea live kwenye keyboard yako......, yaani watu wengi wanajua Man hachomoi nilipo huku nasikiliza watangazaj wa redio moja wanaambiana mmoja anasema kesho Man akishinda atampa mwenzie $500 na kila $100 kwa goli watakalofunga haijalishi hata kama watafungwa ila tu akifunga goli,duh!! Ananipa machungu kweli!!!
Mie nimesema hivi kila la heri kesho, nitawashangilia kiaina aina lol!!! Na mkishinda itakuwa bomba sana, mpira ni dakika 90 na katika hizo dakika 90 lolote linaweza kutokea. MANU 3 Chelsea 2 haya chekelea sasa 🙂🙂