Real Madrid vs. Barcelona: Biggest X-Factors in Saturday's El Clasico

Real Madrid vs. Barcelona: Biggest X-Factors in Saturday's El Clasico

Usemayo ni kweli kwamba Afrika tunaangalia Ligi ya Uingereza tu, na hii nafikiri inachangiwa na ukosefu wa teknolojia pia, waafrika wangeangalia hata ligi za Uarabuni. Na ukae ukijua wakina Nwako walikuja enzi ya television, lakini watu walifuatilia mpira wa Uingereza tangu enzi za kina George Best, miaka hiyo sisi hatujazaliwa. Lakini sifikiri kwamba Latin Amerika wanaangalia La Liga tu. EPL wanaangalia sana na still the best league in the world kwasababu ni competitive sana

Mpira wa Ulaya ya kusini ni wa kiufundi zaidi ndio maana ili kuwa na timu bora lazima uweke pesa nyingi kwenye klabu. Na sababu ya hii pesa ndio unaona wachezaji wakina Maradona, De Lima, Zidane na wengine wamemalizia mpira kule. Na hawa vijana wakina Neymar au Ronaldo pia wanakwenda kucheza huko instead of London, kwasababu soka la kisasa limekaa kimaslahi zaidi

Ni mtazamo wangu tu.

wanashindana na nani mkuu? Mbona top 4 yao karibia miaka kumi iliyopita ni wale wale!
 
Hesabu haziongopi Mkuu makampuni mbali mbali makubwa duniani yanayomwaga pesa kibao EPL yanafanya hivyo baada ya kuziangalia namba. Watoto wa MUJINI wanasema mvuto, EPL ina mvuto mkubwa sana kwa wapenzi wa soka duniani kuliko. Kuna link nimeiweka hapo juu kutoka CNN hebu ipitie ukipata nafasi.

Wakuu BAK na Salamander, mnataka kusema epl inapata watazamaji wengi kuliko la liga katika nchi za latin america? Mimi naamini la liga ndio ligi inayopendwa zaidi katika ukanda huo,thats y wachezaji wa kutoka huko wengi wanapenda kucheza spain, italy na ureno, na c england.

Yaani kwa hapa africa, mtu aliyekuja kuipa promo epl ni Nwanko Kanu. Jamaa aliposign aseno tu, arsenal ghafla ikaanza kupata mashabiki kibao toka africa. Ikumbukwe arsenal ilikuwa timu ya kawaida kama ilivyo sasa QPR, Aston Villa, New castle nk. Inawezekanaje ligi bora isitoe hata mchezaji m1 wa dunia?

Kwa nini msururu huu wa wachezaji hawakucheza epl au england? Maradona, Van Busten, Figo, Dinho, di lima, Zidane, Raul, Messi nk? England wanalipa vizuri, soka linachezwa spain.
 
(CNN) -- Is the English Premier League -- often dubbed the "best football league in the world" -- about to make its financial clout count in Europe's biggest club competition?
Spain might have dominated last season's Champions League, with Real Madrid and Atletico contesting the final, but La Liga should brace itself for an English armada, according to a leading financial expert.
According to the 23rd Annual Review of Football finance from sports business group Deloitte, Premier League clubs' revenue reached a record $4.19 billion in the 2012-13 season.
And with the Premier League's $9.4 billion, three-year television deal -- $5.7 billion for domestic rights, the rest for overseas -- having started in 2013-14, English clubs could be set for a huge financial advantage over their continental rivals.

"The new TV deal puts those Premier League teams qualifying for the Champions League in a good position because they'll be generating a lot more revenue than their European opponents," Deloitte senior consultant Adam Bull told CNN.

Wakuu BAK na Salamander, mnataka kusema epl inapata watazamaji wengi kuliko la liga katika nchi za latin america? Mimi naamini la liga ndio ligi inayopendwa zaidi katika ukanda huo,thats y wachezaji wa kutoka huko wengi wanapenda kucheza spain, italy na ureno, na c england.

Yaani kwa hapa africa, mtu aliyekuja kuipa promo epl ni Nwanko Kanu. Jamaa aliposign aseno tu, arsenal ghafla ikaanza kupata mashabiki kibao toka africa. Ikumbukwe arsenal ilikuwa timu ya kawaida kama ilivyo sasa QPR, Aston Villa, New castle nk. Inawezekanaje ligi bora isitoe hata mchezaji m1 wa dunia?

Kwa nini msururu huu wa wachezaji hawakucheza epl au england? Maradona, Van Busten, Figo, Dinho, di lima, Zidane, Raul, Messi nk? England wanalipa vizuri, soka linachezwa spain.
 
10712758_569607143139551_5875063213527603032_n.jpg
 
Neymar dakika ya 3 Real Madrid 0 Barcelona 1
 
Uzuri wa El Classico kunakuwa na Magoli ya kutosha
 
Washaanza vurumai za mbali, dah. Wataharibu huu mchezo ambao umeanza vizuri.
 
d0b6c0a2-867d-49d2-97e6-f969f1385495-620x372.jpeg

Neymar celebrates his goal with Lionel Messi. Photograph: Javier Soriano
 
90161163-aa06-4ce8-b6b2-16a573b2981b-620x372.jpeg

Real Madrid's Karim Benzema comes close. Photograph: Juan Medina/Reuters
 
Back
Top Bottom