The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
Poleni barca kwa kutobolewa leo. Mlikuwa hamjafungwa hata kagoli kamoja? Leo tatu safi.
Am looking forward to see the Neymar- Suarez-Messi combo,(utatu mtakatifu) je Messi atakubali kucheza pembeni kumpisha Suarez acheze pale katikati? Au Luis Enrique atawachezesha kwa pamoja Suarez na Messi pale mbele?
Je Madrid na udhaifu wao kwenye defense wataweza zuia huo utatu mtakatifu na hii kiungo yao isiyo na natural tackler? Au Sami Khedira ataanzishwa hii game ili kupunguza kasi za kina Messi? Kipa je, Cassilas ataanza na maboko yake?
Beki ya Barca mpaka sasa haijaruhusu hata goli moja kwenye ligi, labla kwa sababu ilikua haijakutana na kipimo cha size yake, je kina CR7, Rodriguez na Benzema watatuonesha udhaifu wake?
Je Madrid watajutia uamuzi wao wa kuwauza Di Maria na the Maestro Xabi Alonso?
Usemayo ni kweli kwamba Afrika tunaangalia Ligi ya Uingereza tu, na hii nafikiri inachangiwa na ukosefu wa teknolojia pia, waafrika wangeangalia hata ligi za Uarabuni. Na ukae ukijua wakina Nwako walikuja enzi ya television, lakini watu walifuatilia mpira wa Uingereza tangu enzi za kina George Best, miaka hiyo sisi hatujazaliwa. Lakini sifikiri kwamba Latin Amerika wanaangalia La Liga tu. EPL wanaangalia sana na still the best league in the world kwasababu ni competitive sana
Mpira wa Ulaya ya kusini ni wa kiufundi zaidi ndio maana ili kuwa na timu bora lazima uweke pesa nyingi kwenye klabu. Na sababu ya hii pesa ndio unaona wachezaji wakina Maradona, De Lima, Zidane na wengine wamemalizia mpira kule. Na hawa vijana wakina Neymar au Ronaldo pia wanakwenda kucheza huko instead of London, kwasababu soka la kisasa limekaa kimaslahi zaidi
Ni mtazamo wangu tu.