Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,504
- 6,199
Isco...Anaujua mpira huyu dogo
Anatishaaaa sana..
Isco...Anaujua mpira huyu dogo
Kheee Messi kumbe yupo ndio namuona saa hii
Khedira kaingia....
Habari za kupoteza maumivu hapo bar!,,
Hahahaaaa mi sijamwona muda mrefu kichizi...tokea wakati ule anapewa kadi.
Habari ndiyo hiyo dakika ya 90 na dakika 3 za nyongeza bado RMA wanaongoza 3-1