Huyu refa vipi?
Half time 1-1, leo naona vurumai si sana, tuombe na kipindi cha lala salama iwe kama cha kwanza huku kila timu ikitumia ufundi wake kutafuta bao/mabao ya ushindi.
Timu moja ikifungwa ndio utaona vurugu, au mtu kama Ronaldo sio mvumilivu kabisa, akichezewa faulo mbili lazima aharibu mechi.
Vamos Barcelona!