Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

#Team Madrid hakuna kukubali unyonge mpaka kieleweke
 
Attachments

  • IMG-20250511-WA0001.jpg
    IMG-20250511-WA0001.jpg
    64.1 KB · Views: 15
Leo tunakula 5 hapa,timu hata inachocheza hakijulikani...wachezaji wamekuja kutalii,very slow..tukipigwa chini ya 5 leo tumeshinda.
 
Maninaaaa...wachezaji wanajigonga tu miguu wakiwa wenyewe na mpira,hii timu nikufukuza hadi mpishi maninaa.🤬🤬🤬🤬..dunia nzima timu ikipanda kushambulia kama unajua huna watu wenye kasi nyuma lazima wabaki wanne muda wote,huu mfumo wa babu carlo anabakisha wawili au mmoja sijui huwa haangalii wengine wakicheza??!
 
Na bado leo mtaeleza kenge nyie leo mtakoma nawachukia sana akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia
 
Leo tunakula 5 hapa,timu hata inachocheza hakijulikani...wachezaji wamekuja kutalii,very slow..tukipigwa chini ya 5 leo tumeshinda.

Even Steve Wonder saw that coming. I'm not bothered kabisa. Kocha na players Karibu wote hawapo at RM level anymore hata Alonso hawezi fanya kitu kwa players Hawa Hawa inabidi kuuza Karibu wote na kununua wengine.
 
mumeanza kulalamikia wachezaji? nilijua tatizo ni kocha
 
mumeanza kulalamikia wachezaji? nilijua tatizo ni kocha

Na players wengi tu tumesema kila siku labda you have selective understanding. Tchou, camavinga, Lucas, Alaba, Mendy, ceballos, Garcia ni wakuuza. Sio level ya RM hao.

Guler bado hajaiva. Anahitaji muda zaidi.
 
Kwenye football kila game ni tofauti sana lakini ninachojua mimi Real Madrid ndio watachukua Uefa Champions league msimu huu
Labda UEFA ya mashindano ya kuku pale tegeta kwa ndevu.
 
Back
Top Bottom