Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Tunaongoza goli tatu MkuuWakuu, hii game na celta vigo tunaweza toboa kweli? juzi Celta vigo alimkazia barca watoa draw
Tunaongoza goli tatu MkuuWakuu, hii game na celta vigo tunaweza toboa kweli? juzi Celta vigo alimkazia barca watoa draw
Nawachukia nyie kenge. Akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie






..Welcome to santiago bernabeu T.A.ANORDNawachukia nyie kenge. Akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie
Imekuwa vyema sana maana wangepiga sana domo aisee.Nimefurahi barcenyeto kutoka
Amini mkuu mimi ni mmoja wa washabiki wa Madrid niliyokuwa nataka Arsenal aende final kwasababu ya Mbappe.Mimi kama mshabiki wa Madrid naombea Inter achukue ubingwa ili Mbape hasijisikie vibaya, kifupi sio ubaya ubwela ni UBAYA UBAYA tu
Tupo na PSG sisi kama mashabiki wa Barca 🤣🤣Amini mkuu mimi ni mmoja wa washabiki wa Madrid niliyokuwa nataka Arsenal aende final kwasababu ya Mbappe.
Intermadrid.Tupo na PSG sisi kama mashabiki wa Barca 🤣🤣View attachment 3327591
Umenifata na huku 😂.Tupo na PSG sisi kama mashabiki wa Barca 🤣🤣View attachment 3327591
Kwanza nimeshangaa kukukuta huku🤣🤣🤣Umenifata na huku 😂.
PSG akichukua sijui watatuambia nini hawa 😃😃Intermadrid.
Yani unashangaa kumkuta mtu nyumbani kwake 😂Kwanza nimeshangaa kukukuta huku🤣🤣🤣
PSG akichukua sijui watatuambia nini hawa![]()
Aseno angeenda presha ingekuwa juu lolote lingetokea so nilimuombea njaa tu aishie apaapa nusuAmini mkuu mimi ni mmoja wa washabiki wa Madrid niliyokuwa nataka Arsenal aende final kwasababu ya Mbappe.
Dua zote kwa Inter.Aseno angeenda presha ingekuwa juu lolote lingetokea so nilimuombea njaa tu aishie apaapa nusu