cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
😂😂😂😂😂Nakubali mpo kwenye nafasi nzuri kwenye makombe matatu.
Kombe la uji.
Kombe la kuku.
Na kombe la bata.
The Mongolian Savage
😂😂😂😂😂Nakubali mpo kwenye nafasi nzuri kwenye makombe matatu.
Kombe la uji.
Kombe la kuku.
Na kombe la bata.
The Mongolian Savage
😂😂😂😂Labda UEFA ya mashindano ya kuku pale tegeta kwa ndevu.
Bruh, comment ya February unaiquote leo? Don't be emotional, ni mambo ya football tu.Nakubali mpo kwenye nafasi nzuri kwenye makombe matatu.
Kombe la uji.
Kombe la kuku.
Na kombe la bata.
The Mongolian Savage
Bruh, comment ya February unaiquote leo? Don't be emotional, ni mambo ya football tu.
Hasira zangu zote nimekuja kumalizia kwako my wangu Madrid.Kenyewe kaligongwa na inter kakapotea mazima saiz kanajifanya kufukua makabuli
Ni risiti tu mkuu usipanic.Bruh, comment ya February unaiquote leo? Don't be emotional, ni mambo ya football tu.
Ni risiti tu mkuu usipanic.
Tuna risiti za mwasibu huu mwaka wa tatu tumezitunza seuze hii ya February.
Ni maboresho machache yenye umuhimu yanafanyika.Punda weupe yule president wenu anaroho ya kikatili sana amewafanyia dhuluma PSG hajarizika amerudia kwa Liverpool, Leverkusen amepita na Alonso wao. dili la Dean Huijsen tayari ashatia mkono KUBABABAKE. aya sasa leo naamka nakutana na habari za Franco Mastantuono kwamba kikao kishafanyika huko Argentina. kusema ukweli Mastantuono mukimchukua Mastantuono, Mastantuono jamaniiii. dah itaniuma sana. Razorblade
Haaland is coming to Camp Nou,, Madrid mtatukoma aseee😂😂Ni maboresho machache yenye umuhimu yanafanyika.
Mkuu ulichokiandika umekitoa wapi, umesahau kama barca anatatizo la kiuchumi?Haaland is coming to Camp Nou,, Madrid mtatukoma aseee😂😂
Nyie na Rais wenu wa La Liga ndio mnajua hivyo sisi tunajua tuna pesa the summer of 2027 tunamleta kijana ,ni suala la muda tuMkuu ulichokiandika umekitoa wapi, umesahau kama barca anatatizo la kiuchumi?
Sawa.Nyie na Rais wenu wa La Liga ndio mnajua hivyo sisi tunajua tuna pesa the summer of 2027 tunamleta kijana ,ni suala la muda tu
Kwani wewe ulitaka hao wachezaji waende wapi Mkuu., acha na sie tufanye maboresho ya kikosi chetu, ili muweze kutuita kenge vizuri msimu ujao.Punda weupe yule president wenu anaroho ya kikatili sana amewafanyia dhuluma PSG hajarizika amerudia kwa Liverpool, Leverkusen amepita na Alonso wao. dili la Dean Huijsen tayari ashatia mkono KUBABABAKE. aya sasa leo naamka nakutana na habari za Franco Mastantuono kwamba kikao kishafanyika huko Argentina. kusema ukweli Mastantuono mukimchukua Mastantuono, Mastantuono jamaniiii. dah itaniuma sana. Razorblade
Bado Left Back na Play maker., sijui Alonso atakuwa anaenda na system gani ila tuna-uhitaji mkubwa sana kwa kiungo mchezeshaji.Ni maboresho machache yenye umuhimu yanafanyika.
Naona Wirtz bado hayuko tayari kutoka nje ya ujerumani, huenda angetufaa.Bado Left Back na Play maker., sijui Alonso atakuwa anaenda na system gani ila tuna-uhitaji mkubwa sana kwa kiungo mchezeshaji.
nje ya mada kidogo, huyo wa kwenye avatar yako nitampata vipi. nisaidie namba nipate zake angalauNyie na Rais wenu wa La Liga ndio mnajua hivyo sisi tunajua tuna pesa the summer of 2027 tunamleta kijana ,ni suala la muda tu