Upigaji gani wa penalty huo, Bellingham yupo huyo Vini wa nini? Mbona Ancelloti anakuwa muoga hivyo?
na kwanini Belingham?
Upigaji gani wa penalty huo, Bellingham yupo huyo Vini wa nini? Mbona Ancelloti anakuwa muoga hivyo?
Liverpool alijifanya kuongoza msimamo wanaumia haooo daah.wale panzi wa liverpool wanaokuja kufanya fujo humo wapo wapi?
IamMrLiverpool matokeo ya los blancos hujapata au bado unamakasiriko na PSG?, njoo hapa unaitwa 😂.wale panzi wa liverpool wanaokuja kufanya fujo humo wapo wapi?
Kuna yule mwenzie mwenye utoto mwingi..IamMrLiverpool matokeo ya los blancos hujapata au bado unamakasiriko na PSG?, njoo hapa unaitwa 😂.
Cha muhimu wadau wa Madrid mzidishe maombi Barca atolewe maana mkikutana kuna dalili ya aggregate kuwa 15-4 na anayefungwa mnamjuq kabisa .
Naunga mkono hojaCha muhimu wadau wa Madrid mzidishe maombi Barca atolewe maana mkikutana kuna dalili ya aggregate kuwa 15-4 na anayefungwa mnamjuq kabisa .
Cha muhimu wadau wa Madrid mzidishe maombi Barca atolewe maana mkikutana kuna dalili ya aggregate kuwa 15-4 na anayefungwa mnamjuq kabisa .
Kila hatua mnabadilisha maneno
Jambo la muhimu ni kukutana na Barca hapo ndipo tutaona team yenye wachezaji overated kila mshabiki wa Madrid moyoni mwake anajua kipigo ni zaidi ya chuma nne.Kila hatua mnabadilisha maneno
Hakuna mtu anaiwaza arsenal team isiyo na striker na forward wagonjwa ,mshabiki wa Barcelona anatamani Madrid amkute final itakuwa mechi rahisi kuwahi kutokea.Sasa hivi wataamia Arsenal, we subiri utaona.
Uzuri nikwamba huwa hawaonekani humu natimu zao za msimu wanasubil tufungwe ndio utaviona vinajipitisha navile humu sisi hatuna mpango navijukwaa vyao kule
Chama langu linaenda kujichukulia point tatu kiulaini
Dah Dogo kapambana sana natamani awe pacha na yule mwingine wa BournemouthBreak news: Our boy Raul Asencio kaitwa timu ya taifa, La Roja.
Dah Doho kapambana sana natamani awe pacha na yule meninges wa Bournemouth