Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tulipaswa kuongeza nguvu sehemu zote kabla ya msimu kuanza ila Rais pamoja na Coacher walijiamini sana na kuamini kikosi kilichokuwepo.

Safari hii kama tunahitaji kurudi tukiwa bora zaidi hatunabudi kufanya usajili wa kueleweka.
Kwa jinsi team ilivyokuwa tulikuwa tunahitaji replacement ya Toni Kroos basi, ila majeruhi yaliyowakumba wachezaji wetu ndio yalituletea shida yote hiyo, na pia ile yali ya Ancelloti kuwa mgumu wa kufanya rotation.
Ila kupindi hiki tuna kila sababu ya kufanya usajili haswa kwenye upande wa ulinzi idara zote na kiungo mchezeshaji.
 
Kabisa mkuu, ngoja leo tuone 4-4-2 ya Mbappe na Endrick hapo mbele.
 
Chama la Wana
Screenshot_20250519-125544.jpg
 
Real Madrid C. F. and our captain Luka Modrić have agreed to bring an end to his unforgettable time as a player at our club following the Club World Cup, which the team is preparing to play starting 18 June in the United States.

Real Madrid wishes to express its immense gratitude and appreciation for a player who has become a true legend both of our club and world football
 
Back
Top Bottom