Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ni Madrid wenyewe kuleta vyuma vya kazi, Jana Saka na Martinelli wote walikuwa wakirudi Hadi chini kabisa kukaba na imekuwa hivyo Kila siku Kwa arsenal, Sasa hivi mido ya Rice, Partey na Odegaard Iko compact sana na akili nyingi, Arsenal walikuwa hawatembei tu uwanjani Kila movement waliyofanya hata kama hawakuwa na mpira ilikuwa na maana.

Kilichoamua ni ubora wa Arsenal, hata mechi ingerudiwa mara kumi Bado Madrid angefungwa tu... Arsenal msimu huu Yuko Bora sana hivyo mara nyingi hufungwa Kwa ujanja ujanja na mpira wa kihuni huni, ukisema uende nao toe to toe kama ni mchovu hutoboi, mfanyie uhuni basi unamfunga...Subirini muone ikitokea Arsenal akakutana na Inter Milan, utaona jinsi mpira wa kihuni ulivyo na unavyochezwa.
Spot on mkuu. Baadhi ya wapumbavu humu, hawaumii kwa kupoteza game, bali wanaumia kupoteza dhidi ya Arsenal.

Kwao wakisia Arsenal, basi picha ya kwanza inakuja ni Manchester United 8-2 Arsenal. Wanashindwa kukubali zama zimebadilika.
 
Hiki ndio kitu ambacho kila siku hua nasema.

Timu inaonekana kabisa, Mzee ashakua msimamizi wa mazoezi tu,

Ameshaishiwa mipango vibaya mno atulie kwanza aachie vijana wakimbizane au wazee ambao hawajatumika sana.
 

Attachments

  • Screenshot_20250417-192759_Facebook.jpg
    Screenshot_20250417-192759_Facebook.jpg
    79.8 KB · Views: 19
Spot on mkuu. Baadhi ya wapumbavu humu, hawaumii kwa kupoteza game, bali wanaumia kupoteza dhidi ya Arsenal.

Kwao wakisia Arsenal, basi picha ya kwanza inakuja ni Manchester United 8-2 Arsenal. Wanashindwa kukubali zama zimebadilika.
Hili wengi hawataki kukubali, wanadhani Arsenal anabahatisha, Mimi ni united damu kabisa, Arsenal imeziacha timu nyingi mbali tena mbali sana hasa kiuchezaji na kimikakati. Siku hizi hata kumfunga Arsenal si rahisi, kipindi kile timu zinaweza kukaa nyuma na kuvizia Kwa counter lakini siku hizi ishakuwa ngumu pia.
 
Madrid has my respect. Tumewatoa CL ila hii ni timu yenye historia nene, safi na chafu.

Hata hivyo hii Madrid ya sasa ikitupwa mfano EPL inawezekana ikawa inacheza nafasi za tano kushuka
 
wengi wao ni overrated sana, kiuhalisia ni wachezaji wa viwango vya kawaida sana
Namimi naanza kuamini hili. Naamini mchezaji yoyote wa daraja la juu ukiachana na kuwa na skills sahihi za mpira lazima pia awe na njaa ya mafanikio kwa mechi yoyote anayocheza ataichukulia na maana kubwa. Lakini sasa hawa madogo wana skills tu wanakosa commitment kwenye kazi yao huioni njaa na ari ya utafutaji.
 
Kenge nyie nawachukia mno akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa
 
Mtani, tumekukanda mara mbili, na sasa tunaenda kukutana tena mara mbili in very decisive games. I have a feeling, tunashinda moja, moja mnashinda nyie.

Pamoja na kujichokea kwenu, sidhani kama itakua rahisi kuwabaka classico nne ndani ya msimu mmoja.
 
Kama unaangalia hii game utakubaliana na mimi kwa hakika kabisa Babu Carlo atuachie timu yetu,unaangalia huoni timu inatumia mbinu gani katika kushambulia na kuzuia,yaan wachezaji wanajiendea tu.
 
Sure lakini naona mpira leo hawapotezi kizembe wanajituma sana
Last game na arsenal,wachezaji wanasema babu hakuwapa mbinu zozote za mechi zaidi ilikuwa nikuwaambia high intensity and focus....unajua ukwel ni kuwa,ukiwa unatumia nguvu kila wakat katika kila mechi bila njia zakutumia hizo nguvu ni lazima utepete,watu ni kwel hawapotezi mipira,ila je tunachezaje katika kupata matokeo?ni hakuna,ndio maana unaona tunafika kwenye 20 au 18 tunapoteza mipira kizembe tena kwa njia ile ile.
 
Back
Top Bottom