Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kama tulivyosema nyakati nyingi hapa,timu kwa ujumla inahitaji mabadiliko makubwa sana,kuanzia eneo la beki hadi katikati pale,beki za kati na pembeni zipo hoi,haswa za pembeni,kaumia Carvajal basi kila mahali ni tobo hakuna muongozaji wa eneo la ulinzi,katikati hapo Valverde nafikiri ni uchovu sana na kuhamishwahamishwa namba,Tchoumeni na Ceballos ni wafangakazi hewa,hata Camavinga pia...hili eneo linahitaji mabadiliko makubwa sana...babu Modric huu uwe msimu wa mwisho kwake,hawa madogo kama hawaaminiwi basi watolewe...eneo la kati kwa maana ya namba 6 tunahitaji watu katili kweli kweli wenye uwezo wakunusa hatari na wanaoweza kujitoa kwa timu,huyu Fran Garcia kashindwa hata kuchukua kadi nyekundu kwa faida ya timu hata iwe draw..benchi la ufundi nalo litoke tu maana mbinu zao zimeshapitwa na wakati.

Yote kwa Yote,tuonane msimu ujao,huu kwetu umeshakwisha kwa aibu..tutarudi tukiwa imara msimu ujao.
Don carlo tena kaishiwa mbinu🤣🤣🤣🤣 wee achana na don carlo huyo ndio mwenyewe bwana sema tuu timu haina wachezaji
 
Kama tulivyosema nyakati nyingi hapa,timu kwa ujumla inahitaji mabadiliko makubwa sana,kuanzia eneo la beki hadi katikati pale,beki za kati na pembeni zipo hoi,haswa za pembeni,kaumia Carvajal basi kila mahali ni tobo hakuna muongozaji wa eneo la ulinzi,katikati hapo Valverde nafikiri ni uchovu sana na kuhamishwahamishwa namba,Tchoumeni na Ceballos ni wafangakazi hewa,hata Camavinga pia...hili eneo linahitaji mabadiliko makubwa sana...babu Modric huu uwe msimu wa mwisho kwake,hawa madogo kama hawaaminiwi basi watolewe...eneo la kati kwa maana ya namba 6 tunahitaji watu katili kweli kweli wenye uwezo wakunusa hatari na wanaoweza kujitoa kwa timu,huyu Fran Garcia kashindwa hata kuchukua kadi nyekundu kwa faida ya timu hata iwe draw..benchi la ufundi nalo litoke tu maana mbinu zao zimeshapitwa na wakati.

Yote kwa Yote,tuonane msimu ujao,huu kwetu umeshakwisha kwa aibu..tutarudi tukiwa imara msimu ujao.
Kwa hiyo hamna timu wanetu
 
Hata kama mimi ndio ningekua kocha wa arsenal. nisingelitolewa na hii madrid.

Yaani wachezaji wa madrid wanajaa 6 kwenye box la mpinzani harafu mpira haukai humo unapita jujuu tu!!.

Timu haina muunganiko tangu msimu unaanza inamaana kocha hua anafanya nini mazoezini?

Madrid wanatabirika kirahisi, wanakabika kirahisi daah kiufupi Mzee Don carlo inatosha hii timu inahitaji kocha mpya.

Hata kama atakaua sio fundibsana ila naamini wachezaji watajiyuma zaidi.
 
Naona leo tumevamiwa aisee, uwanja wenu huu kumaliza hasira zenu.

We're Madridistas, Hala Madrid!
Acha wamalize hasira zao zimewajaa vifuani mwao miaka nenda rudi,huwezi kuwa na mafanikio mara dufu ya wao tena combined halafu ukaungwa mkono,they know sisi ndio vizingiti kwao,so kututoa huwa ni zaidi ya sherehe kwao...ndio maana unaona penalt waliopata wao,the same scenario ndio hiyo tulionyimwa sisi ila hakuna anayeiongelea hilo,this is because "We are Real Madrid"..
 
Pole mkuu
 
Duh!, aisee huyu vinicius hayupo serious kabisa. Half Time badala ya kwenda kumsikiliza kocha ye ndo kwanza yupo mitaani anacheza cheza na grealish na leah williamson kwenye tangazo la pepsi
Hahaha 😁🤣 hahaha 😁🤣
 
Mungu anisaidie nipate hata usingizi tu maumivu ni makali sana
Screenshot_20250405-194521.png
 
Kama tulivyosema nyakati nyingi hapa,timu kwa ujumla inahitaji mabadiliko makubwa sana,kuanzia eneo la beki hadi katikati pale,beki za kati na pembeni zipo hoi,haswa za pembeni,kaumia Carvajal basi kila mahali ni tobo hakuna muongozaji wa eneo la ulinzi,katikati hapo Valverde nafikiri ni uchovu sana na kuhamishwahamishwa namba,Tchoumeni na Ceballos ni wafangakazi hewa,hata Camavinga pia...hili eneo linahitaji mabadiliko makubwa sana...babu Modric huu uwe msimu wa mwisho kwake,hawa madogo kama hawaaminiwi basi watolewe...eneo la kati kwa maana ya namba 6 tunahitaji watu katili kweli kweli wenye uwezo wakunusa hatari na wanaoweza kujitoa kwa timu,huyu Fran Garcia kashindwa hata kuchukua kadi nyekundu kwa faida ya timu hata iwe draw
nimekukubali sana hapo ulipomjumuisha na Camavinga, dogo ni mchezaji wa kawaida sana, anaimbwa lakin sio level za madrid ila bado kuna viazi hawataki kukubali, madrid ni ufundi mguuni + kazi sio lele mama kama Tchouameni
 
Back
Top Bottom