Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kijana ametupa alama 3 muhimu.
IMG-20240422-WA0004.jpg

Jude Bellingham.
 
Nawachukia sana kenge nyie na kwa bayern hamtoboi
Kwa style hii lazima uichukie Madrid, UCL

=>2022/23 Round of 16
Real Madrid CF 1-0 Liverpool
Liverpool FC 2-5 Real Madrid
NB:VVD akalia mpaka kamasi

=>2021/22 Final
Liverpool FC 0-1 Real Madrid
NB:Klopp akawadanganya mfanye booking ya hotel mapema, Uturuki.Badala yake, mkakutana tena na wahuni, tukawalamba

=>2020/21 Quarter-finals
Liverpool FC 0-0 Real Madrid
Real Madrid CF 3-1 Liverpool
NB: Baada ya hii mechi Klopp alisusa kula wiki nzima

=>2017/18 Final
Real Madrid CF 3-1 Liverpool
NB:Tukamvunja na Sis. Sala mkono

=>2014/15 Group B
Real Madrid CF 1-0 Liverpool
Liverpool FC 0-3 Real Madrid
NB:Cristiano Ronaldo standing ovation at Anfield
 
Nothing Personal, Ila Jamaa ni kilaza, na British Media inatumia nguvu nyingi kuaminisha jamaa ni Best Player wa timu kitu ambacho ni kituko, mbaya zaidi kuna wanojiita mashabiki wa Madrid wemeingia kwenye huo mtego
Jude ni beast wewe huwez mwelewa , Ile mechi na city Madrid alienda completely defensively , na dogo alitaabika Sana...mwanzoni mwa Msimu alikuwa kama striker ila sa hv hayo majukumu kapunguziwa ..ndo mana hata kwenye magoli haonekani sana
 
Back
Top Bottom