Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,557
- 2,597
Hapo badae tupo na vijana wa Xavi sasa
Nyie saizi yenu castilla tu.Huu utopolo ukikutana na Chelsea ndio mutajua kuwa hamuna timu hapa. Yule Palmer atawa lamba lamba🤣🤣
Mkuu unaumia sana, Twambie anachofanya Jude uwanjani anachowashinda au kuwazidi wenziwe ni nini? Jamaa ndio mchozaji dhaifu zaidi uwanajni huo unabaki kuwa ndio ukweli
inabidi tushinde ubigwa wa la liga utangazwe mapemaHapo badae tupo na vijana wa Xavi sasa
mzunguko wakwanza walitokaje mkuuLeo barca yupo kwetu. Alipokuwa kwao tulimaliza kazi vyema
Barca alikula chuma 2 kwa moja. Maestro luca maduara alimiliki dimba vizuri sanamzunguko wakwanza walitokaje mkuu
With A+ performance from JudeBarca alikula chuma 2 kwa moja. Maestro luca maduara alimiliki dimba vizuri sana