Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wewe jamaa hii timu watu wanaifatilia kuliko unavyofikiri. Hapa nakuletea comments za wadau kuhusu Valverde before Ancelloti hajaja tena Madrid [2021]

Mwaka 2018 Cesar Caspar anaandika ''Valverde ninhabari nyingine kabisa, yule dogo anakimbia uwanja mzima, ni bado anacheza kwa tahadhari ila ana uwezo mkubwa tu wa kupiga nje ya box, Kovacic kwa alichofanya msimu...''

Rapherl 2019: Fede Valverde has impressed Zinedine Zidane, and is set to be given a number of opportunities in the games that remain, with a view to him becoming an important player next season. Zinedine Zidane is a fan of the midfielder's strength, dynamism and versatility. [MARCA]

Cesar Caspar 2019: ''Kila mmoja alicheza vyema ila Valverde alicheza vizur zaidi, Dogo ana uwezo mkubwa sana wa kufanya marking na kupress, uwepo wake uwanjani unampunguzia Casemiro majukumu na kuwapa Kroos/Modric muda wa tune mchezo wa team...''

PAGAN 2019: ''Kitu kingine, ya nini umsaini Pogba wakati kuna Fede Valverde? Dogo ana vitu vyote anakaba with unexpected tackles, air duals, akishambulia ana pace, speed na mpira unanata mguuni.''

Hizo ni chache tuu. Ila utaona Valverde amekuwa consistent since ametoka Castilla mwaka 2017. Comment yako imekaa kiduanzi kiduanzi, kama inaonyesha ulikuwa na shida zamani na Valverde kama ulivyo na shida na Jude sasa hivi.
Broo achana nae huyu
 
Narejea tena, Valvelede kabla ya Carlo alikuwa ni wakawaida sana, Hivi sasa jamaa perfomance zake ni za ki world class player, hakuwa na hadhi hiyo kabla ya carlo, si yeye tu na wengine wengi akina VIni, rodrygo. hicho kipindi unachokizungumza cha Zidane timu ilikuwa ina hali mbaya sana, ilifika hatua mpaka ikaaga champion league round of 16.
Una ligi za kijinga sana
 
Wewe jamaa hii timu watu wanaifatilia kuliko unavyofikiri. Hapa nakuletea comments za wadau kuhusu Valverde before Ancelloti hajaja tena Madrid [2021]

Mwaka 2018 Cesar Caspar anaandika ''Valverde ninhabari nyingine kabisa, yule dogo anakimbia uwanja mzima, ni bado anacheza kwa tahadhari ila ana uwezo mkubwa tu wa kupiga nje ya box, Kovacic kwa alichofanya msimu...''

Rapherl 2019: Fede Valverde has impressed Zinedine Zidane, and is set to be given a number of opportunities in the games that remain, with a view to him becoming an important player next season. Zinedine Zidane is a fan of the midfielder's strength, dynamism and versatility. [MARCA]

Cesar Caspar 2019: ''Kila mmoja alicheza vyema ila Valverde alicheza vizur zaidi, Dogo ana uwezo mkubwa sana wa kufanya marking na kupress, uwepo wake uwanjani unampunguzia Casemiro majukumu na kuwapa Kroos/Modric muda wa tune mchezo wa team...''

PAGAN 2019: ''Kitu kingine, ya nini umsaini Pogba wakati kuna Fede Valverde? Dogo ana vitu vyote anakaba with unexpected tackles, air duals, akishambulia ana pace, speed na mpira unanata mguuni.''

Hizo ni chache tuu. Ila utaona Valverde amekuwa consistent since ametoka Castilla mwaka 2017. Comment yako imekaa kiduanzi kiduanzi, kama inaonyesha ulikuwa na shida zamani na Valverde kama ulivyo na shida na Jude sasa hivi.
Silaha ulizomgonga nazo sio poa. Anataka kutufanya mateka kama Hamis77 anavyowanya kule jukwaani kwenu, kondooz.
 
Jude Bellingham ameshinda tuzo ya Laureus World Breakthrough of the Year, 2024,

Tuzo ya Laureus ni ya Mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio 2024.

Agadias
.
FB_IMG_1713818456037.jpg
 
hapana, ila tunataka maelezo yanayoashiria kuwa hiyo tunzo ni ya mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio. mana mimi naona wewe ndio umejiengeza na hayo maneno
Jina la tuzo lishaeleza maana ya hiyo award. Sema kwa kuwa mwanetu ushazoea ligi, hukosi cha kuongea. Kama anavyosema Flano yupo likizo, so ana muda mwingi wa kuandika kule jukwaa la Arsenal, basi na sisi/mimi pia. Tutakuwa tunakujibu humu kuonyesha uduanzi wako.

Mshkaji kaandika "Jude Bellingham ameshinda tuzo ya Laureus World Breakthrough of the Year, 2024,

Tuzo ya Laureus ni ya Mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio 2024"

Wazungu wenyewe wanasema hivi kusuhu Laureus world breakthrough award "Awarded to the sportsperson or team whose performance as a newcomer suggests the greatest potential for an outstanding career or to an established sportsman or sportswoman who produces a significant step-up in class to a considerably higher level of sporting achievement"

Hapo utaona kauli ya mshkaji inaingia kabisa ndani ya definition ya hiyo tuzo. Mchezaji bora wa dunia (coz sio kigezo uwe unacheza ulaya) mwenye mafanikio 2024(mafanikio hapa inaweza kuwa kushinda tuzo yenyewe, lakini pia inaweza kuwa ile performance wise yake kwa mwaka 23/24)
 
Huu ubishi wako itabidi uwe unalipia sasa tunachoka kukuelimisha.
 
Poleni sana Wakuu., mna kazi kubwa ya kuelemisha na kufundisha, sio kazi ndogo,
 
Mshkaji kaandika "Jude Bellingham ameshinda tuzo ya Laureus World Breakthrough of the Year, 2024,

Tuzo ya Laureus ni ya Mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio 2024"

Wazungu wenyewe wanasema hivi kusuhu Laureus world breakthrough award "Awarded to the sportsperson or team whose performance as a newcomer suggests the greatest potential for an outstanding career or to an established sportsman or sportswoman who produces a significant step-up in class to a considerably higher level of sporting achievement"

Mkuu mbona hayo maelezo ya kiengereza hayafanani na ya kiswahili? Hakuna popote kwenye hayo maelezo ya kiengereza yaliposema mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio.

Mnatupiga bana, halafu tukisema tunakuwa sisi ndio wabaya.
 
Back
Top Bottom