bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,707
- 24,477
Una personal issue na Jude?huyo jamaa ni bure kabisa, toka dakika ya 55 alishajaa upepo na bado akamaliza 120. Na Vyombo vya habari vya kiingereza ndio leo vinatambia na picha zake eti Baloon D'or favorite PUMBAV kabisa