Penalty ile mkuu. Anategemea Lucas apite wapi pale baada ya kuweka mguu. Same ba Saka vs Neuer, clear penalty kwangu.Leo naona kama mtani kadidimizwa,ile penalt yetu naona kama rahisi sana,Lucas alijigongesha,hili goli lililokataliwa kama la Yanga flan hivi[emoji3][emoji3]
Hatuna watu sahihi wa kufanya hiyo kazi Mzee, Mipira mingi inadondokea kwa Vini na yeye huwa hana pasi za mwisho nzuri kwa wenzie., hapo labda Ancelloti amrudishe kati na Rodrygo atokee kushoto.Long balls long passes tunamaliza game
Hana cover kama mwenzie Vazquez, kule yupo Valverde na Rodrygo, huku kushoto Camavinga yupo peke yake., so ni lazima azidiwe.Huu upande wa camavinga umezidiwa...
Luca au Kroos, mmoja amuache mwenzake. Camavinga au Tchouameni aje kati. Then tuonyeshane makali.Hatuna watu sahihi wa kufanya hiyo kazi Mzee, Mipira mingi inadondokea kwa Vini na yeye huwa hana pasi za mwisho nzuri kwa wenzie., hapo labda Ancelloti amrudishe kati na Rodrygo atokee kushoto.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tiredness.Sijui ule mputempute wa City.Huyu Vin leo anazingua kishenzi yaan
Sasa Carlo hii Sub mbona haionekani kama ina akili...umemtoa Rodrigyo na sasa unamtoa Vin,nani wakupunguza hapo mbele..hii maana ake amekubali kurudi nyuma tushambuliwe tu,naona karidhika na draw..na tutapigwa kisirudi.