Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Starting line-up hii hapa., Ancelloti hana mambo mengi.
anceloti anataka kuua game apa apa benarbeu
mim shida angu ipo kwa mendey apo
Tuombe tu game imkubali leo, kwasababu kuna game nyingine unaona kabisa akili yake haipo uwanjani., yeye na mwenzie Nachomim shida angu ipo kwa mendey apo
Hujui mpiraaliekwambia ni nani? Ushindi wa City na KDB / Halland /Bernando. Ukiwakamata hao watatu umemaliza kazi
Na wote wapo uwanjani leo.,ninadhani watacheza kwa tahadhari kubwaHofu ya leo ni hizo card za njano za vijana wa los blancos
mbali na hapo ushindi wa 3+ goals leo uwakika![]()


RodrigoesNaona tu notification,tumechomoa tunaongoza sasa.
Wazee naomba mwenye link
Poa poa...ila bado sijapata.mkuu ukiipata namimi naomba
mkuu ukiipata namimi naomba
yellow kadi yake ndio kikwazoTchoumen ni mzuri pia akicheza kama beki namuona hapa