United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,234
- 6,597
kipind cha pili game tumalize hapa hapa bernabeu
mkuu leo mendy kaamka vizuriHT: Real Madrid 2-1 Manchester City
Yeah, ninaona kule kwake hapapitiki leo kirahisi, pia anajitahidi kusogea mbele kidogo.mkuu leo mendy kaamka vizuri
hii game inabdi ifie apa apa second leg iwe simple tuYeah, ninaona kule kwake hapapitiki leo kirahisi, pia anajitahidi kusogea mbele kidogo.
ataa sawa ikishindikana Brahim diaz azameVinicius ndio bado mpira haujakaa sawa mguuni., pass hazifiki kwa mlengwa, na pia jicho kwenye goli bado halijakaa sawa., acha tusubiri kipindi cha pili.
Hii game ni ya mchaka mchaka sio mchezo, Vijana wanakimbia tu, hakuna kukata tamaa.
Nlikua na wasi wasi nae anenifunga mdomomkuu leo mendy kaamka vizuri
Ancerloti Moga sana kipind cha pili karudi na kukaa nyuma ilikua hatari sana kama second leg ataenda kukaa Nyuma mda mrefu Tena kipara atatusumbua sanaHii game imekuwa kama ile ya nusu fainali msimu ule, ni piga nikupige
Lunn nae kila shuti goli! second leg akae Kepa goliniHii game tunaenda kuimalizia Etihad., bado hawa tunao sana tu.
Hopefully vijana wataonyesha hari waliyokuwa nayo leo., sioni tukicheza kinyonge kama msimu uliopita.
Hapana Mzee, yule Kepa ndio pazia pazia man, zile goli hazikuwa za mchezo, mpira unapigwa kwenye angle huufuati kama haupo karibu, siwezi kumlaumu kwa zile goli kiukweli.Lunn nae kila shuti goli! second leg akae Kepa golini
Kwa aina ya mchezo tuanaocheza, tunahitaji wale vijana, kwamba tukipata chance ni goli, hapo tutawaweza, ila tukisema tukae nyuma jamaa watatupiga kipigo cha mbwa mwizi.,Ancerloti Moga sana kipind cha pili karudi na kukaa nyuma ilikua hatari sana kama second leg ataenda kukaa Nyuma mda mrefu Tena kipara atatusumbua sana
Jude na Vinicius wote game imewakataa, kila walichojaribu kufanya hakikufanikiwa., Camavinga, Rodrygo na Valverde ndio niliona walisimama imara sana, na safu yetu ya ulinzi.Leo Jude game imemgomea,
Kocha akija na sub ni kheri amuingize miltao achsze na Rudiga , harafu Tchouameni asogee juu pahala pa camavinga, camavinga akapunzike ili asitoke na njano,
Jude nae ampishe modric,,
Vini abaki Ila ajichunge na makosa yake ya hovyo asijekupata Kadi nae
Pia braihim yupo anaweza kuzama pia badala yake