Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Jude na Vinicius wote game imewakataa, kila walichojaribu kufanya hakikufanikiwa., Camavinga, Rodrygo na Valverde ndio niliona walisimama imara sana, na safu yetu ya ulinzi.
walicheza kwa uoga wakuto pata kadi nyingine ya njano unakuwa hauko comfortable ndiomaana walimtupia jude false 9 uko na Rodrigo akatolewa mapema

sasa next game jezi nyeupe zitaloa damu amini nacho sema
 
Ancerloti Moga sana kipind cha pili karudi na kukaa nyuma ilikua hatari sana kama second leg ataenda kukaa Nyuma mda mrefu Tena kipara atatusumbua sana
Sasa Carlo si ni coward m1 tyuu, ana jipya lipi?
Akaribie Etihad, tumuoneshee.
 
Mwendo mmeumaliza, jipangeni kwa ajili ya msimu ujao.

Kila la heri Man City, kawageuze kitoweo cha Eid hawa viumbe pale Ethad kama kawaida yako.
 
Madrid ni kama mtu anafuga mbwa kwa kutegelea mavi ya mlevi yaani wewe utegemee mbio tu na ubahatishe ,kwenye goli tatu deflactions 2 hauwezi kuwa na plan nyingine ,kuna maswali yataulizwa na citizens pale Etihad junior staff kama Jude hawawezi kujibu.
 
Mechi ijayo pale kati tutafunga milango Kwa vitasa Miltao & Rudiger,

Kisha pale Kati tutafungua booster Camavinga, Velvede, Kroos,

False 9 atasimama Jude, kulia Rodrigo, na kushoto Vini,

Hiki ndio full kikosi na hatutacheza Kwa tahadhari wala mzaha tena Kama jana,

Ni full mchaka mchaka,
Wao Kama wanajiona jana wamecheza,
sisi tuanaona tumepasha,

Vini, camavinga na Jude kutokupata Kadi za njano ni mtego ambao Kipara hawezi kuuruka.

Naamini "Kisago walicho-kikwepa Santiago kinawafuata Etihad"
 
Mechi ijayo pale kati tutafunga milango Kwa vitasa Miltao & Rudiger,

Kisha pale Kati tutafungua booster Camavinga, Velvede, Kroos,

False 9 atasimama Jude, kulia Rodrigo, na kushoto Vini,

Hiki ndio full kikosi na hatutacheza Kwa tahadhari wala mzaha tena Kama leo,

Ni full mchaka mchaka,
Wao Kama the wanajiona leo wamecheza,
sisi leo tuanaona tumepasha,

Vini, camavinga na Jude kutokupata Kadi za njano ni mtego ambao Kipara hawezi kuuruka.

Naamini "Kisago walicho-kikwepa Santiago kinawafuata Etihad"
Well said bro
 
Etihad ni uwanja tiliowahitumia kutinga final uefa. Tena tulikwenda etihad tumefungwa na city 1st leg kule bernabeu. Sasa twende kwao mbungi ikapigwe huko. Only long balls tunamaliza kazi. Kroos aanze very tight katikati afu baadae dong maestro luca aingie asambaze upendo kama jana.
HUjawahi ifunga city etihad angalia rekodi zako vizuri.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Leo Jude game imemgomea,
Kocha akija na sub ni kheri amuingize miltao achsze na Rudiga , harafu Tchouameni asogee juu pahala pa camavinga, camavinga akapunzike ili asitoke na njano,
Jude nae ampishe modric,,

Vini abaki Ila ajichunge na makosa yake ya hovyo asijekupata Kadi nae
Pia braihim yupo anaweza kuzama pia badala yake

Siku zote huwa nasema humu huyo Jamaa Jude ni muwa ila mnakuwa wabishi, haya endeleeni kumtetea eti game imemkataa
 
Madrid ni kama mtu anafuga mbwa kwa kutegelea mavi ya mlevi yaani wewe utegemee mbio tu na ubahatishe ,kwenye goli tatu deflactions 2 hauwezi kuwa na plan nyingine ,kuna maswali yataulizwa na citizens pale Etihad junior staff kama Jude hawawezi kujibu.
Deflection haitokei bila shot sijui una ongea kitu gani
 
Modric anatakiwa kuanza nafasi ya Jude, kwa kweli jamaa hana faida yoyote uwanjani zaidi ya kuvizia mipira ndani ya 6 yard box.
 
Hayo ni maoni yako nayaheshimu japo sio kweli

jamaa anakosa mchango wowote uwanjani, Vyombo vya habari vya kiengereza vinabinya, toka jana wako bzy kumponda Halland Jamaa yao kama hawamuoni, alikua ni worst player on the pitch
 
Back
Top Bottom