Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tatizo ni kulazimisha kutuaminisha kuwa ni Best Player Duniani na kwenye timu, kitu ambacho ni upuuzi sana, Walianza kutuhesabia magoli, baada ya magoli kukuta saivi wamekuja na Hoja kuwa ndie anaeupiga mwingi uwanjani, Sasa ikiwa yeye anaupiga mwingi Toni Kroos na Valverde wanafanya nini? Waingereza ni wapuuzi sana, ukiingi kwenye media zao kila siku headlines nikuwa Jude anaibeba Madrid. akifunga kigoli kimoja tu inakuwa ndio story of the week.

Wajameni mtamuua Gary Neville.
 
imebaki siku moja Real Madrid vs Manchester City kiumane kwenye dimba la Bernabèu

Hala Madrid
FB_IMG_1712584618650.jpg
 
️ Eduardo Camavinga alikua na mchango mkubwa Kwa Real Madrid walipokia wakitwaa ubingwa wac 14 wa Champions League:

• Real Madrid 0-1 PSG
Camavinga aliingia dakika ya 57:
️Benzema
️Benzema
️Benzema

• Real Madrid 0-2 Chelsea
Camavinga ON at 73rd min:
️Rodrygo
️Benzema

• Real Madrid 0-1 City
Camavinga ON at 75th min:
️Rodrygo
️Rodrygo
️Benzema
FB_IMG_1712585500834.jpg
 
Real Madrid wameomba Kwa Uefa mechi ya Kesho Santiago bernabeu uwanja huo ufunikwe Kwa juu ili kelele za mashabiki zisikike vizuri,

Nami nawashauri Kesho kabla ya kufunika,

Wafunge milango yote Kwanza na walinzi wahakikishe The citizens wote wamo ndani.
Haitapendeza yatokee mambo ya Fernabache.

Nisizunguke Sana nitawachosha,

Ni hiviii "Kisago cha Kesho Kipara lazima apeleke salamu Kwa swahiba wake Arteta".
 
Real Madrid wameomba Kwa Uefa mechi ya Kesho Santiago bernabeu uwanja huo ufunikwe Kwa juu ili kelele za mashabiki zisikike vizuri,

Nami nawashauri Kesho kabla ya kufunika,

Wafunge milango yote Kwanza na walinzi wahakikishe The citizens wote wamo ndani.
Haitapendeza yatokee mambo ya Fernabache.

Nisizunguke Sana nitawachosha,

Ni hiviii "Kisago cha Kesho Kipara lazima apeleke salamu Kwa swahiba wake Arteta".
Tunawapelekea moto hivo hivo hata kama mkifunga mirango na madirisha kudadekiii
 
Hii game yetu na City,imani kubwa sana niko nayo hawa tunawapiga nje ndani..sisi huwa hatukubali kufungwa mara mbili lakini pia tuna vijana sasa wenye kiu kubwa ya mafanikio na zaidi city dawa yao imepatikana na uwezo wako nao umeshuka.
Mimi presha ipo juu tu, acha tusubiri tu mpka hapo baadae.,
Sijaangalia game za City, so sijui wana nguvu sehemu gani na udhaifu sehemu gani kulinganisha na kwetu.

Ila Tumaini ni moja tu Ushindi
#HalaMadrid
 
aliekwambia ni nani? Ushindi wa City na KDB / Halland /Bernando. Ukiwakamata hao watatu umemaliza kazi
wew hungalii game za city Rodri ndio muhimili wa city Last season Gundogan na Rodri ndio walikua muhimili wa timu msimu huu pengo la Gundogan limeonekana sana nazani ndio chanzo cha City kushuka ki perfomance KDB,Halland,Bernado ni wachezaji wamuhimu wa city ila sio muhili wa Timu Gundogan na Rodri ndio best player wa City last season
 
Back
Top Bottom