Kumuondoa Rodrigo ni kamariRumour has it. Lakini mi naona dogo hana cha kuprove, aletwe tu apige mabao. Media nyingine zinadai huenda Rodrygo akatiwa sokoni kitu ambacho mi siwezi kusuport hata siku moja.
Vini ana matatizo gani huyo dogo juzi kagombana na Laporte kaenda kumu attack wakati mechi imeisha baadae aanze kujiliza ubaguzi
Kumuondoa Rodrigo ni kamari
Manchester City hawezi kufungwa na Real Madrid abadani save my messageNi vyema Manchester city wapambanie Makombe mengine,
Kuhusu Uefa champions League Wasahau.
mzee mechi za city uwa unatazama na mechi za Real madrid pia uwa unatazama au umeamua tu comment kwa hisiaManchester City hawezi kufungwa na Real Madrid abadani save my message
Save this post. Rodrygo atauzwa kufidia signing fee ya mbabe na kuruhusu nafasi kwa mbape, vinni na jude kubaki kikosini. Japo kwa upande wangu rodrygo namkubali sana kuliko vini maana huwa anasaidia kukaba timu ikiwa inashambuliwaRumour has it. Lakini mi naona dogo hana cha kuprove, aletwe tu apige mabao. Media nyingine zinadai huenda Rodrygo akatiwa sokoni kitu ambacho mi siwezi kusuport hata siku moja.
papa perez anavompenda rodrygo hatoenda huyo dogoSave this post. Rodrygo atauzwa kufidia signing fee ya mbabe na kuruhusu nafasi kwa mbape, vinni na jude kubaki kikosini. Japo kwa upande wangu rodrygo namkubali sana kuliko vini maana huwa anasaidia kukaba timu ikiwa inashambuliwa
Save this post. Rodrygo atauzwa kufidia signing fee ya mbabe na kuruhusu nafasi kwa mbape, vinni na jude kubaki kikosini. Japo kwa upande wangu rodrygo namkubali sana kuliko vini maana huwa anasaidia kukaba timu ikiwa inashambuliwa
Spain vs Brazil, Papa Perez akiwa na wote watatu, Rodri, Vina na Endrick, akaombe jezi ya Rodripapa perez anavompenda rodrygo hatoenda huyo dogo
msishangae vinny akaondoka one day just incase drama zake haziji kuchafua brand ya los blancos
Jude bado hajafika peak tunayotarajia. Take it from me Jude anauwezo wa kukupigia namba 8 namba 10 na namba 9 ya FALSE ni ngumu kumuacha mtu kama huyo pale madrid. Ujio wa MBAPE utamtoa kafara Rodrygo japo kwa upande wangu RODRYGO namkubali sana hasa linapokuja swala la kuform shield tunaposhambuliwa. Game ile ya 2nd leg na LB LEPZIG rodrygo alituokoa sana.Alafu kuna wapuuzi humu wanaleta leta vidomo vyao eti Jude ni Best Player kwenye timu, my foot
TAA yeye mwenyewe anaitaka sana Madrid.Kama tukiwa na mbappe Ni kheri Rodrigo abaki Ila Yule vin tuwape Liverpool watupe Taa,
Naona vin ana wenge Sana
Sio ushauri, ninadhani wanaangalia angle ya uchezaji, ila kwa upande wangu ninaona bado Rodrygo ana nafasi kubwa sana ya kuendelea kuichezea Real Madrid, labda akate tu tamaa.Anayetoa ushauri wa kuuzwa kwa Rodrygo achungunzwe labda kachukua rushwa. Rodrygo ni decision maker, tumestrugle miaka kibao kutafuta striker, I don't know. Labda maPundits mtuelezee.
Kama tukiwa na mbappe Ni kheri Rodrigo abaki Ila Yule vin tuwape Liverpool watupe Taa,
Naona vin ana wenge Sana
Anayetoa ushauri wa kuuzwa kwa Rodrygo achungunzwe labda kachukua rushwa. Rodrygo ni decision maker, tumestrugle miaka kibao kutafuta striker, I don't know. Labda maPundits mtuelezee.
Jude bado hajafika peak tunayotarajia. Take it from me Jude anauwezo wa kukupigia namba 8 namba 10 na namba 9 ya FALSE ni ngumu kumuacha mtu kama huyo pale madrid. Ujio wa MBAPE utamtoa kafara Rodrygo japo kwa upande wangu RODRYGO namkubali sana hasa linapokuja swala la kuform shield tunaposhambuliwa. Game ile ya 2nd leg na LB LEPZIG rodrygo alituokoa sana.
Jude bado hajafika peak tunayotarajia. Take it from me Jude anauwezo wa kukupigia namba 8 namba 10 na namba 9 ya FALSE ni ngumu kumuacha mtu kama huyo pale madrid. Ujio wa MBAPE utamtoa kafara Rodrygo japo kwa upande wangu RODRYGO namkubali sana hasa linapokuja swala la kuform shield tunaposhambuliwa. Game ile ya 2nd leg na LB LEPZIG rodrygo alituokoa sana.