Watu kama Hao siwezi poteza muda kubishana nao ....
Mtu kaangalia mpira kabisa ..
Bernardo silva kafanya clearence mpira unataka kutoka ,mbaya zaidi ,mbaya zaidi haikuonekana kama ulikuwa umetoka au laaah ,....
Baada ya hio clearence camavinga ndio aliwin mpira ,kiufupi baada ya bernado silva kupiga huo mpira mnaosema umetoka nje ulifikia miguuni mwa camavinga ,referee alipeta Kwa sababu ni advantage Kwa Madrid,na Hilo liko wazi ,muda huo hata wachezaji wa madrid walilidhika kabisa

,...Madrid wamecheza huo mpira pass after pass wakanyanganywa ,ndio city akamiliki mpira na kufunga ....which is another phase ..........
Mtu kama Carlo unakuta analialia sijui ulitoka anashindwa kusema baada ya kutoka wao ndio walipossess kama advantage...acheni ujanja ujanja chezeni football
Sijui kwanin watu wanashindwa kuona hiki kitu ,wanataka kitongaa na kuja na vipicha vya kijinga ,wanafikili referee ,var ,zaidi ya camera 20 ziko uwanjan zilikuwa hazioni kinachoendelea ....