Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ingekua ni rahisi hivyo wasingekaa muda wote ule kureview. Kifupi wao pia hawakuwa na Jibu wakaipa tu benefit of doubt waka cancel. Naweza kupa Mechi kibao Scenario kama Ile imetokea na Goli lime count, Juzi tu Hapa Spain na Ufaransa Garcia alifanya Tackling akagusa Mpira alicancel offside na Mbape akafunga

Video hii
 
Hiyo ya Mbabe ni clear offside. Hilo kosa la kimaamuzi lililofanyika hapo haliwezi kuhalalisha scenario inayofanana na hiyo kuamuliwa kama ilivyotokea hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…