Hawa watoto nao huwa wanazinguaga sana wakat mwingine.
View attachment 3675471
hilo jambo halijaanza leo, Hata Benzema alikua akibez upande wa kushoto na wala haikuwa shida. tuache kukariri story za watu wenye ueleo mdogo wa football
Hawa watoto nao huwa wanazinguaga sana wakat mwingine.
View attachment 3675471
Wenger alishawaambia hili mapema sana kuwa huo upande utawapa shida na kuna eneo litabaki halina mtu na ndio gepu la kuikwepa presha toka kwenu.
Angalia shimo hilo na hakuna interchange yoyote wala rotational movement kwenye zone ile.Henry pia alikua akibase upande wa kushoto ambao alikuepo Pirez na kuondoka sana kati wakati Wenger akiwa arsenal. nawala haikueletea shida. tuache kukariri logic zisizo na msingi
Hututakii mema wwhilo jambo halijaanza leo, Hata Benzema alikua akibez upande wa kushoto na wala haikuwa shida. tuache kukariri story za watu wenye ueleo mdogo wa football
Angalia shimo hilo na hakuna interchange yoyote wala rotational movement kwenye zone ile.
Unambishia wenger ambae Xabi Alonso alikiri na kutaka Tisa asilia ... Hawa wote wajinga na wamekariri ila wewe ndio unaelewa mpira.
Hututakii mema ww
Google tu "Real madrid positioning problems" uone km unaelewa unachombishia pierre tall
Ubishi wa kipumbavu huu.ni wapi Jose Mourinho amelalamika juu ya hilo? ikiwa kocha wa timu hajaona tatizo nyinyi huo uchambuzi uchwara munatoa wapi?
Ubishi wa kipumbavu huu.
Kila kona wanazungumza hili ila ww unasubiri hd ajiexpose kwa mdomo wk
tabia za ki ccm kupinga ukweli