Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hongereni Sana kwa kufika fainali wakulungwa. Kwa kuitoa Chelsea Basi ninyi ni mabingwa wapya wa UEFA.
Umewashangaza wengi
#CFC💙💙💙
 
Wewe takataka timu yako siyo UEFA materials 😂😂😂😂

Na yule kocha wenu Ana laana ya asili😂😂😂
 
Hii game tulivyofungwa nikaenda Kulala
Kwanza nilikuwa na pisi ndani anauliza mara hii wameshafungana 3 kwa 4 nikaona huyu ananiletea mauza uza tu tukapigwa goli kwa hasira nikazima TV nikamwambia twende tukalale yani hata sikupiga show akili yote inawza Madrid nikajipa moyo tumebeba la liga ila naamka asubuhi kama siamini amini
Asante Madrid viva
 
Nashauri, kujenga uzi wetu si vizuri kujibizana na watu hovyo, kutukanana kisa. Huu ni uzi kuhusu madrid mijadala iwe ya kujenga kuhusu timu, sio quote za kejeri na matusi.

Sisi madrid tuoneshe mfano. Wapiga kelele wote hakuna kuquote post zao. Tu move na vibes zetu
 
Well said mashabiki wa RMA hua hatuna matusi
 

Mkuu mashabiki wa EPL wamezoea kutukanana kwenye nyuzi za timu zao, sasa wamekua wanajileta humu kuja kuropokwa ropokwa ovyo.
 
Mtani, naona umemkamata kipara. Huwa siwapendi hawa malofa wa EPL, na nyinyi pia siwapendi. Ila kwa heshima ya LALIGA, chinjeni na huyo jogoo.

Huwa mkifika nusu fainali mnakua hatari sana, hamzuiliki unless mkutane na Barca. Anyway, ni muda wenu, tambeni. Tukutane msimu ujao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…