Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kubishana au kujibizana na shabiki timu yao ina kombe 3 sijui 5 za ligi ni kupoteza rasimali yako ya kufikiri.

City ata acheze anapaa, afuzu asifuzu madrid tutabaki giants na exception timu ambayo kila mtu anafia kukutana nayo uefa.

Second leg itakua ngumu sana. City ataingia kutafuta goli 1 ili amalize mechi na akipata nafikiri itakua ngumu ku over turn.

Tukutanw weekend tunyanyuw kwapa kwanza la ligi kwa msimu huu.

hala madrid!.
 
Madrid na man city wamekutana Mara 4 city kashinda 3 Madrid kashinda 1
 
KIUKWELI MANCITY HATOCHOMOKA PALE SANTIAGO BERNABEU..NI SWALA LA MUDA TU.. KURUHUSU GOLI TATU ZOTE NYUMBANI NI MISTAKE itakayowagharimu pakubwa.
Kipindi anakutoa 2-1 Etihad na Santiago 2-1 mlisema maneno Aya Aya Madrid hamuwezi man city match wamecheza 4 man city kashinda 3 Madrid kashinda 1
 
Argument za kitoto kabisa hizi.. Kwani kushinda mechi tatu kati ya 4 huko kipindi cha nyuma inazuia nini?
 
Back
Top Bottom