Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mapema kabisa, Ancelotti ameshatangaza kikosi chake, imekuwa ni desturi kwenye michuano hii, anatangaza kikosi chake mapema, Let's hope for the best.
Vamooos Real

Sio anatangaza mapema, timu zinatakiwa ku submit kikosi kwa uefa masaa mawili kabla ya game. So wote mda huo wanakua wameshatuma
 
#ManCity Starting XI vs Real Madrid: Ederson; Walker, Dias, Laporte, Cancelo; Rodri, De Bruyne, Bernardo; Mahrez, Foden, Jesus.
 
Dah Pep amekusudia ubaya kwa kweli, Kashusha kikosi kile kile cha mechi ya mwanzo, Mahrez, De Bruyne na SIlva wakicheza kwa pamoja jamaa hua wanauwasha vibaya kabisa, na mbaya zaidi ameengezeka Cancelo. Kwa kweli Real leo anahitaji miujiza.
 
HT: Tumecheza vzr,lakini pressing yetu haikuwa yenye nguvu sana...modric anatuliza timu vyema hapa nyuma ila kuna wakat anapoozesha mashambulizi kwa kupiga backpass kisha hawa jamaa wanajipanga,mtazamo wangu ni kuwa mambo yanatakiwa kuwa mbele kwa mbele..Velvde upande wake wa kiungo naona umezidiwa,watu wanajipitia sana kwake..
 
Shot on target hata 1 hakuna...vinicious kakutana na mashine yenye mbio km yeye...kabanwa hasa...tackle ya casemiro kwa de brune ilikuwa ni kadi...tackle nyngne kwa foden ikiwa n pmj na kumvuta shati ilikuwa ni kadi pia..bahati ipo kwake
 
Back
Top Bottom