Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Sawa mkuu nimekuelewa... Nilikuwa sifahamu kama unaweza ukalinganisha Ronaldo na Benzema kwenye ufungaji... Tuyamalize tuuu

sijalinganisha nimeweka data za fact tu. Messi ana 10 goals mpaka sasa. Ronaldo ana 4. Ambazi ni sawa na za Bale na Benzema.
 
239307_66d850c2db9ba81502a1586392ceb5d2.gif
 
Binafsi msimu huu naona ni msimu wa kujianda na msimu ujao

Mkuu mpira ndivyo ulivyo huwezi kuwa timu bingwa miaka yote.
Pole mkuu, huo ndio ukweli. Kama umelijua hili basi wewe hutapata shida
 
Ronaldo huko Juventus amefanya nini mpaka saivi? angoli sawa na Benzema tu kwaio hakuna tofauti ya kiperformance na ukitizama zaidi Juventus ni dominating zaidi kwenye ligi yake alitakiwa awe na magoli zaidi.
Na timu kufanya vibaya kwa kipindi ni matokezeo yakawaida kwenye football. Wakati Real Inakula vichapo mwaka jana mpaka ikafikia ya 7 kwani Ronaldo hakuwemo?
Mkuu ucjipe moyo sana ronald angekuep kwny hz game angewez kubdl matokeo hata kama uko juv ana bao 4 mpaka sasa ila kumbuka kule ni sehem mpy kwak na bhado anaonesha kwmb anawez ila madrid yetu hi ya sahv game 4 mfululiz awajaona goli maombi muhm
 
Na madrid nay ni dominting club pia iltakiw iwe inafunga sana
 
Nadhani wamepoteza points nyingi mpaka amejua kiswahili, lkn mshabiki mstaarabu sana huyu jamaa
Sure, Sijawahi kuona Salamander akimjibu mtu vibaya. He's a nice person!

Mpira unatuunganisha, ukitokea utani basi ni utani wa kawaida tu wa kishabiki. Nothing personal.

Peace be upon you Salamander!
 
Mkuu ucjipe moyo sana ronald angekuep kwny hz game angewez kubdl matokeo hata kama uko juv ana bao 4 mpaka sasa ila kumbuka kule ni sehem mpy kwak na bhado anaonesha kwmb anawez ila madrid yetu hi ya sahv game 4 mfululiz awajaona goli maombi muhm
Tena ana goli 4...assist 4...key passes za kutosha na ame create big chances 5...sio hzi takataka zetuu
 
Hahaha ni vipigo tu hakuna namna.

Hahaha Loooossss Blsncossssss

Huu msimu unaeza usiondoke na chochote.
 
The mistake is in the tactics . we pass the ball for whole 90 minutes, or we play a long ball from centre circle and no creativity at all . Kroos playing so deep throughout the game . 600 minutes, no goal no penetration. We're in big crisis right now
 
Mkuu unanitia shaka kidogo kuwa weye ni mshabiki wa real. hivi kufunga Penalt ya dakika 98 kama unavosema imekua ndio ishu kwa timu kama Real? unafahamu kuna wachezaji wangapi ndani Real Ambao ni World Cup winners? Real imejaa walled class players mkuu. Ramos, Kroos, Modric, Marcelo, Bale hamna ataetetemeka kupiga Penalt eti kwakua dakika ya 98.

Na unapozungumza game zinakua ngumu halafu yeye anasimama anasimama wapi? kwa kuvizia chini ya box mzpira uzagae afunge ndio ugenius? Modric, Kroos na Marcelo ndio wamekua best player for the last 5 years ndani ya Real Madrid. Huyo Ronaldo na bale wamukua wakivizia tu.
unaongea utoto mpk una boa
 
Back
Top Bottom