Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mkuu unanitia shaka kidogo kuwa weye ni mshabiki wa real. hivi kufunga Penalt ya dakika 98 kama unavosema imekua ndio ishu kwa timu kama Real? unafahamu kuna wachezaji wangapi ndani Real Ambao ni World Cup winners? Real imejaa walled class players mkuu. Ramos, Kroos, Modric, Marcelo, Bale hamna ataetetemeka kupiga Penalt eti kwakua dakika ya 98.

Na unapozungumza game zinakua ngumu halafu yeye anasimama anasimama wapi? kwa kuvizia chini ya box mzpira uzagae afunge ndio ugenius? Modric, Kroos na Marcelo ndio wamekua best player for the last 5 years ndani ya Real Madrid. Huyo Ronaldo na bale wamukua wakivizia tu.
Ronaldo ana ile desire ya ushindi kubwa sana....uwepo wake tu uwanjani ulikuwa unafanya timu nzima ijitume... Champions league 4 katika miaka mitano na bado unakataa mchango wake?? Unakataa kwamba ni pengo?? Hata hao kina modric... Kroos wanajua jinsi Ronaldo alivyokuwa na umuhimu ...
 
Habari mkuu, mmoja wapo mie japo nakuwa bize sana lakini huwa najitahidi kuusoma huu uzi mara kadhaa ila kwa mwenendo wa timu yetu hivi sasa niseme tu SIWEZI KUTOA KAULI...Hivyo kwasasa wacha niweke reserve ya kauli.....Zisije tufanya tuwe maadui x2(In LavaLava Voice). Ila niseme tuu katika mgawanyo wa position uwanjani timu ipo vizuri kuanzia nyuma(back line) japo sio sana, kati tupo njema mno isipokuwa bado kule mbele sijamuona wakututembeza kifua mbele kwenye nyakati ngumu/Harsh moments kwa maana sahivi nyakati ngumu sio tu tufungwe na timu kama bayern ila hivi sasa ukishafungwa hata na timu ndogo tu ligi za ulaya anahitajika mtu kweli ili ushinde kama sio kusawazisha na niwe mkweli japo tumechukua sana UEFA lakini safari hii tupambane na hali yetu kwa yanayokuja mbeleni kwa kuwa yanafurahisha...''NILISHAWAHI KUSEMA KUWA TATIZO SIO RONALDO KUONDOKA REAL(UKIZINGATIA UWEZO WAKE WA KU DELIVER ULISHAANZA KUSHUKA NA CONSISTENCY YAKE ILIPUNGUA KIASI FULANI DUE TO AGE) BALI SHIDA NI KUTOSAJILI MTU/WATU SAHIHI WAKUVAA VIATU VYAKE" NA NIRUDIE TENA KUWA BADO SINA IMANI NA ASENSIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU HASA PALE TUNAPOTANGULIWA KUFUNGWA MFANO MECHI YETU YA REAL VS BILBAO ASENSIO AMERUKARUKA TU.

ACHANA NA HUYU MTU ANAITWA RONALDO JAPO KUWA ALISHAANZA KUPOTEZA CONSISTENCY YAKE DUE TO AGE...KITU AMBACHO NI KWAIDA MAANA ATA TEMBO NI MFALME WA PORINI LAKINI UMRI WAKE UNAVYOZIDI KWENDA HUNG'OKA PEMBE ZAKE ZOTE MARA 8 NA KISHA ANAKUFA, NAPOSEMA MAZINGIRA MAGUMU NI KAMA HAYA....

Real Madrid ipo on right track. wenye matatizo ni mafanboys wa Ronaldo. Wengi wameshakimbilia Juventus lakini bado wameigeukia Real kuisema kama inazorota. Wakati kimsimamo msimu huu wapo kwenye nafasi nzuri kuliko walivokua msimu uliopita sasa sijui taizo lao ni nini.
Kilichnipendezesha kikubwa ni stlyle of play. Kabumbu ya uhakika kabisa tumeanza kuiona Ndani ya Madrid. Mpaka muda huu kikosi kinaridhisha kabisa ila Bado Isco anahitaji ku raise up his game.
 
Ronaldo ana ile desire ya ushindi kubwa sana....uwepo wake tu uwanjani ulikuwa unafanya timu nzima ijitume... Champions league 4 katika miaka mitano na bado unakataa mchango wake?? Unakataa kwamba ni pengo?? Hata hao kina modric... Kroos wanajua jinsi Ronaldo alivyokuwa na umuhimu ...

Usitake kutuaminisha kama champion leagu zileltwa na Ronaldo, Sipingi kama hakuna mchango wake Lakini Mafanikio ya Real Madrid yameletwa na worl d class players ambao wamekuwmo kwenye timu na Si Ronaldo tu, Bale, Di Maria, Modric, Kroos, Marcello, Pepe, Ramos, Benzema, Carvajl, Alonso, Isco.
Halafu eti kusema eti uwepo wake unaifanya timu ijutume ijitume vipi labda utusaidie. Mkuu unawafaha vizuri Modric na Kroos? kazitizame performance zao ndani ya world cup labda ndio utawahamu vizuri. Unapotimzama mpira kuwa makini na mpira wenyewe nasio utizame kishabiki.
 
Siongelei ushabiki mkuu... Simshabikii Ronaldo.. Naishabikia Real Madrid... Nimeitazama Madrid katika kipindi cha majonzi na katika kipindi cha furaha... Nimeona tulikuwa tunakosa nini kipind cha tabu na nimeona kwann tumefanikiwa miaka yote... Madrid siku zote inakuwaga na wachezaji wazuri... Lakini Ronaldo ameleta tofauti kubwa sana...Perez juzi kwenye general assembly kasema kabisa kwamba kwa mchango mkubwa Madrid Ronaldo ni wa 2 nyuma tu ya Alfredo Di Stefano... Di Stefano alikuwa anacheza na wachezaji wazuri sana... Akina Paco Gento, lakini yeye ndo alikuwa analeta tofauti... Ronaldo pia amekuwa akizungukwa na wachezaji wazuri wazuri sana lakini yeye ndo alikuwa difference maker... Mtu aliefunga magoli 452 sijui katika game 451 leo unaona mchango wake ni wa kulinganisha na watu wengine... Jiukilize kwannn tangia 2008 Madrid na Barcelona wamechukua UEFA CHAMPIONS LEAGUE miaka mingi sana... Madrid mara 4 na Barca mara 3...sababu kubwa ni messi na Ronaldo... Hao ndo difference makers mkuu
 
Asensio ndio right player to lead madrid attack,Sijui tatizo lako ni nini. Uvumilivu ni muhimu hamana alieanza tu akafanya mambo makubwa. Hata huyo Ranaldo hakuanza na speed aliomalizia.
Inabd ajithdi afunge magoli makubwa... Inabd ajitajdi atushindie mechi ngumu na muhimu... Ana kipaji kikubwa sana... Ni yeye tu kujituma zaidi
 
25'
1f552.png

Alaves 0-0 Real Madrid.
 
Siongelei ushabiki mkuu... Simshabikii Ronaldo.. Naishabikia Real Madrid... Nimeitazama Madrid katika kipindi cha majonzi na katika kipindi cha furaha... Nimeona tulikuwa tunakosa nini kipind cha tabu na nimeona kwann tumefanikiwa miaka yote... Madrid siku zote inakuwaga na wachezaji wazuri... Lakini Ronaldo ameleta tofauti kubwa sana...Perez juzi kwenye general assembly kasema kabisa kwamba kwa mchango mkubwa Madrid Ronaldo ni wa 2 nyuma tu ya Alfredo Di Stefano... Di Stefano alikuwa anacheza na wachezaji wazuri sana... Akina Paco Gento, lakini yeye ndo alikuwa analeta tofauti... Ronaldo pia amekuwa akizungukwa na wachezaji wazuri wazuri sana lakini yeye ndo alikuwa difference maker... Mtu aliefunga magoli 452 sijui katika game 451 leo unaona mchango wake ni wa kulinganisha na watu wengine... Jiukilize kwannn tangia 2008 Madrid na Barcelona wamechukua UEFA CHAMPIONS LEAGUE miaka mingi sana... Madrid mara 4 na Barca mara 3...sababu kubwa ni messi na Ronaldo... Hao ndo difference makers mkuu

Kama messi na Ronaldo ndio sababu ya Barca na Real kubeba champion League mbona wameshindwa kuzipa mataji ya Dunia Nchi zao?
Messi na Ronaldo ni wachezaji wazuri sana. Lakini zaidi ya nusu ya mafanikio yao yametokana na ubora wa timu zao walizochezea.
Na Huwezi nambia kuwa Raul alikua ni bora kuliko Figo, Zidane, Redondo, Hiero kwasababu alifunga magoli 300. Ronaldo ni striker na kufunga ndio kazi yake, na amefanya vizuri na kuisadia timu sana, lakini Sasa unapomlinganisha na Kroos na Modric ambao ni midifield halafu na kutoa kigezo cha ubora wake kuwa ni magoli ni vichekesho mkuu.
 
Dogo Asensio lazima alikua aanze. Tatizo kubwa Real ni creativeness ndani ya forward line. Na kinachozidi kuwapa tabu ni style of play wanayocheza inzifanya automatic timu pinzani zikae nyuma mbele zisije.
 
HALF-TIME: Alaves 0-0 Real Madrid.

Another goal-less half.
1f615.png

Do105BfW4AABJjN.jpg
 
Kama messi na Ronaldo ndio sababu ya Barca na Real kubeba champion League mbona wameshindwa kuzipa mataji ya Dunia Nchi zao?
Messi na Ronaldo ni wachezaji wazuri sana. Lakini zaidi ya nusu ya mafanikio yao yametokana na ubora wa timu zao walizochezea.
Na Huwezi nambia kuwa Raul alikua ni bora kuliko Figo, Zidane, Redondo, Hiero kwasababu alifunga magoli 300. Ronaldo ni striker na kufunga ndio kazi yake, na amefanya vizuri na kuisadia timu sana, lakini Sasa unapomlinganisha na Kroos na Modric ambao ni midifield halafu na kutoa kigezo cha ubora wake kuwa ni magoli ni vichekesho mkuu.
Kwann katika kipindi cha mafanikio ya Madrid na Barcelona Ronaldo na Messi walikuwa wanachukua individual awards nyingi na sio Iniesta... Xavi... Modric... Kroos au Ramos??? Football is a team game but kuna watu ambao ndo wanakuwa viongozi... Bila kuzungukwa na wachezaji wazuri Messi na Ronaldo wasingepata mafanikio sana lakini uhalisia ni kwamba wao ndio viongozi wa hzoo timu nzuri. .wao ndo walikuwa na uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote
 
Dogo Asensio lazima alikua aanze. Tatizo kubwa Real ni creativeness ndani ya forward line. Na kinachozidi kuwapa tabu ni style of play wanayocheza inzifanya automatic timu pinzani zikae nyuma mbele zisije.

Kati kuna 4 midfielders, Bale anacheza wide pale kati Benzema ndio yuko peke yake.
 
Kwann katika kipindi cha mafanikio ya Madrid na Barcelona Ronaldo na Messi walikuwa wanachukua individual awards nyingi na sio Iniesta... Xavi... Modric... Kroos au Ramos??? Football is a team game but kuna watu ambao ndo wanakuwa viongozi... Bila kuzungukwa na wachezaji wazuri Messi na Ronaldo wasingepata mafanikio sana lakini uhalisia ni kwamba wao ndio viongozi wa hzoo timu nzuri. .wao ndo walikuwa na uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote

Angalia game mkuu
 
Kati kuna 4 midfielders, Bale anacheza wide pale kati Benzema ndio yuko peke yake.

Bale nikaribu Zero kwenye creating. Mpaka abahatishe kwa krosi moja moja. Kazi yake kuvizia kufunga tu.
 
Mariano Díaz comes ON to replace Benzema for the second half.

43278459_2213986555292759_205630840720326656_n.jpg
 
Back
Top Bottom