Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mkuu ucjipe moyo sana ronald angekuep kwny hz game angewez kubdl matokeo hata kama uko juv ana bao 4 mpaka sasa ila kumbuka kule ni sehem mpy kwak na bhado anaonesha kwmb anawez ila madrid yetu hi ya sahv game 4 mfululiz awajaona goli maombi muhm

Hata Real pia inajikita kwenye mfumo mpya na kocha mpya, kwaio pia time of adopting inahitajika. au hamujaliona hilo? Uandokaji wa Zidane ni Pigo kybwa kwa Real Kuliko Ronaldo kwa sasa.
Kwahisabu zako kimakaidiro angekua tayari ana goli zaidi ya 10 saivi. kwaisabu ya angekua anfunga moja moja tu kila mechi. Lakini pia kumbuka msimu aliomaliza mpaka mzunguko wa mwanzo unakatibia kumaliza alikua ana magoli ma 4. Kwaio maelezo yako hayaleti gerentii.
Ila nakubali kama Real Wangelipewa Leo Messi basi hata goli 15 tunagekua tunakaribia kuzihesabu.
 
mkuu usilazimishe maoni yako ndo yawe kweli

huyu mhuni perez alifanya kosa la kiufundi kumuuza Ronaldo.
 
Tena ana goli 4...assist 4...key passes za kutosha na ame create big chances 5...sio hzi takataka zetuu

Assist za kababatizana kwa mashuti !!!!kamtizame Hazard na Leo Messi wanavotoa assist.
 
The mistake is in the tactics . we pass the ball for whole 90 minutes, or we play a long ball from centre circle and no creativity at all . Kroos playing so deep throughout the game . 600 minutes, no goal no penetration. We're in big crisis right now
We're just passing and passing... There are no players making runs behind the defenders... Bale plays with his back to goal waiting to receive the ball and turn... Benzema drops wide and deep to link... Asensio drops too deep pia... There are times tunakuwa tunacheza kama hatuna 9...yani so poor so so poor
 
hii kitu hamna... At Madrid only winning is enough... Timu yetu ni nzuri sana... Sio ya kukaa dakika 700 haijafunga goli...
Hilo nalo ndio linanishangaza kweli kwa nini hatufungi wakati wachezaji wazuri wengi tu, je ni tak tik za kocha au ni nini??
 
Wewe simshabiki wa Real. Nenda huko Juve kama wenazako wape tele wameshatangulia.
mkuu sihitaji ku prove kwako kama mimi ni mshabiki wa Madrid...napenda mpira in general... I can even watch a Sassuolo vs Sampdoria game na nika enjoy... Ronaldo kuondoka Madrid haimaanishi ndo nisiangalie mechi za timu aliyoenda... Naipenda sana Madrid... Lakini huwezi kuta naongelea ushabiki... Kwenye ukweli ntasema ukweli... Kama tunazingua ntasema... The demands at Madrid are so big... There no excuses...
 
mkuu usilazimishe maoni yako ndo yawe kweli

huyu mhuni perez alifanya kosa la kiufundi kumuuza Ronaldo.

Perez ndie main brain behind Real Madrid Success. Huwezi fahamu ilo wewe Tuulize sie wadau wa Real Madrid.
Kwasasa aendelee kupambana na kesi zake mana nasike kabaka uko.
 
Na madrid nay ni dominting club pia iltakiw iwe inafunga sana

Huwez fanananisha dominating ya Madrid na Juventus kwenye ligi zao.
Juventus amakua bingwa we Seria A mara ya 7 mfululizo sasa.
Na real amukua bingwa mara 2 tu for the last 10 years ndani ya La Liga.
hapana usawa hapo.
 
Mkuu mimi hata sikuelewi kwann unamchukia na kutotaka kumu appreciate Ronaldo... Even mchango wake kwenye timu... But keep hating brooo
Huyu jamaa ana chuki tu na Ronaldo na hana sababu ya maana kutetea chuki yake.
 
Perez mpaka aseme ukweli dk 700 mechi ya 4 hata kagoli hakuna team imeondoa bunduki ikabakisha mapanga, tusubiri show la kibabe elclasico Barça wanavyopenda sifa goli sita zitamdondokea mtu ,hakuna kiongozi forward line, watu wanakimbia bila mipango immaturity imejaa
 
70% ball possession, tukaja kupigwa dakika ya 95. Kila timu ishajua sasa hivi, ukicheza na Real Madrid weka watu 9 kwenye box, paki bus la kuua mtu, hakikisha hawapati bao mpaka dakika ya 70 basi wanakuwa frustrated ukipata chance unawapiga unachukua point 3.
 
Back
Top Bottom