Yani mkuu hiyo mechi itamfukuzisha mtu...wee subiri utajionea mwenyewe yani kwa namna ile juzi messi alivyoichezea backline ya spurs vertogen...sijui atatufanya vipi real na ni tarehe 28 mwezi huu...yasije tokea yale ya mourinho alivyopigwa 5-0, na kwa jinsi nilivyomuona huyu kocha lopetegui huwa hana kabisa mbinu mbadala pale timu inapokuwa na hali ngumu, ingawaje amejitahidi kuijenga timu in absence of ronaldo na ata wachezaji wengine pia amewajenga kisaikolojia...hadi wanafikia kusema maneno kama haya....
"You won't feel absence of CR7" -Ceballos
"Raul is best in RMA history" -Carvajal
''Other players have more marketing but Modric deserves awards" -Ramos
"RMA is more like a team now" -Bale
Na majuma kadhaa yaliyopita kupitia gazeti la el mundo messi aliwahi kusema statement hii juu ya mwenendo wa real kwenye msimamo wa ligi...''Messi said..real are weak without ronaldo'' and real madrid fans on social networks said he was arrogant but it was the truth as it's revealed currently...na navyojua mimi kuna aina ya straikers wakiwa kwenye 18-yard box unakuta opponent defence haipandi hovyo akiweemo ronaldo mwenyewe, diego costa na lewandowski...hivyo naaza kuelewa messi aliona nini kwenye safu yetu ya ushambuliaji.