Yah,
Hii game nlkua nkiamin kabisa juve Tutawatoa
Walichoka sana, mistakes katka defence yao zlkua nyng sana.
Na nlijua Red card ilkua inafatia, kitu ambacho kingewatoa kabisa mchezoni
Na ukiongezea na uchovu mkali walokua nao, Tungewafunga goli lolote.
SASA, WALICHOKIAMUA MAREFA HATA HAKIJANIPENDEZA.
Mara nyingi tumekua tukilalama wenzetu wacatalunya kubebwa na waamuzi kwny UEFA wakiwa home ground.
KIUKWELI,
HILI LA LEO LILILOTOKEA PALE BERNABEU,
TUKUBALI TU,
Ukweli unauma, ila kwa hili unabd tu usemwe.
Bila unafiki wala, kutanguliza mahaba mbele.
##NA SISI LEO TUMEPITA KWA MBELEKO##