HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Umeona e...Ngoja nisubr kipenga cha mwisho....huu mpira wa miguu hauna adabu shekh..
Umeona e...Ngoja nisubr kipenga cha mwisho....huu mpira wa miguu hauna adabu shekh..
Yah,Hata huo ubingwa mkiuchukua tayari umeshaingia doa!
Mimi na uhakika msingekosa goli extra time sababu juve walikuwa tayari wameshachoka mngewatoa tu.
Lakini sasa hivi dunia inajua refa ndio kawatoa juve pyeeeee!!! Kaniudhi sana.
Wakuu,
Kiukweli mm ni madrid fan, Damu Damu
Ila kiuhalisia, Bila kutanguliza mahaba mbele.
HII GAME YA LEO, MADRID TUMEFUZU KWA MBELEKO YA MAREFA.
SIJAFURAHISHWA KABISA NA KILICHOAMULIWA NA MAREFA, IJAPOKUA KIMELETA POSITIVE IMPACT KWETU.
KIKUBWA NASHKURU MUNGU,
TUME QUALIFY FOR SEMI-FINAL
Honestly;
**PENALT KICK HAIKUAPATIKANA HALALI***
Kwani kilichoathiri ni kadi au penalt? Kinacholeta gumzo juu ya mechi hiyo sio kadi bali ni kitendo cha mwamuzi kuwapa madrid penati katika mazingira yale. Hilo ndilo linalozungumzwaIwapo refa angeacha upendeleo kadi nyekundu ingeenda kwa beki aliemuwekea mguu Lucas na Buffon kwa kutusi.
Ila kwa kua refa katumia ubinadamu katoa kadi moja tu.
Mkuu,Tangu lini umekuwa Real Madrid fan ? Au ID hii ya Real Madrid na ile nyingine ya Barcelona
Ndo nalala na tungefungwa nisingeenda kazini!loohHahaha
Leo ilikuwa ni shdaaa
Halamadrid
Msikilize Tim na Kuffor kuhusu hiyo ni penati ama sio penati, ile ni penati halali kabisa, wengi wanaona kama refa hakustahili kutoa penati kwa sababu ya muda na pressure ya mechi, lakini ukweli unabaki pale pale kwamba ni penatiYah,
Hii game nlkua nkiamin kabisa juve Tutawatoa
Walichoka sana, mistakes katka defence yao zlkua nyng sana.
Na nlijua Red card ilkua inafatia, kitu ambacho kingewatoa kabisa mchezoni
Na ukiongezea na uchovu mkali walokua nao, Tungewafunga goli lolote.
SASA, WALICHOKIAMUA MAREFA HATA HAKIJANIPENDEZA.
Mara nyingi tumekua tukilalama wenzetu wacatalunya kubebwa na waamuzi kwny UEFA wakiwa home ground.
KIUKWELI,
HILI LA LEO LILILOTOKEA PALE BERNABEU,
TUKUBALI TU,
Ukweli unauma, ila kwa hili unabd tu usemwe.
Bila unafiki wala, kutanguliza mahaba mbele.
##NA SISI LEO TUMEPITA KWA MBELEKO##
Navas kaisha mkuu tunavuta de gea come end of the seasonDogo aliyechukua zamu ya El captain simlaumu, ila Bale hakuna kitu so far.. na goli la pili ni jepesi sana kufungwa kwa kipa kama Navas.. hili goli ni uzembe wake
HahahahaNdo nalala na tungefungwa nisingeenda kazini!looh
Huyu mume wa Leo ni immortal hafi Hadi mwisho.Mume akifa kwa ukimwi mke hana maisha marefu![]()
Ila kwa HILI LA Leo,
Siwez kua mnafiki, penalt kick haikupatikana kihalali.
Mimi dah acha tu!mi nisingeenda maana nimemnunulia MTU sodaa kesho ningepewa kretiHahahaha
Mwenzio vurugu nilizo leta jana kwenye uzi wa Barca ingefaa nichukue likizo
Niliahidi watu pesa mitaani hadi humu kama tungetoka leo, waliniweka roho juu sana leoHahaha
Leo ilikuwa ni shdaaa
Halamadrid
Niliahidi watu pesa mitaani hadi humu kama tungetoka leo, waliniweka roho juu sana leo