Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

ile penati haikuwa na mawaa. ila as a hater nafurahi wengi watasema ilikuwa ya magumashi. hiyo ina demean ushindi wenu
Hahaha. Kweli watu yan wametuplay down but Man! performance yetu yenyewe ina demean ushindi wetu. Yaan hata tungefunga goli mtu kapiga kutoka mbaliii bado today wasnt good. Kwa kweli
 
Clear penalt,CR7 kaiweka kambani na Madrid wanaenda semi final kama hautaki kabishane na mende jikoni.
Majirani zetu walikua wanaomba kwa bidii tufanane nao, ila sie tumewaacha kwnye Mataa.., na wengi wao ndio wanalia na ile penalty,
Juve tulikuwa tunawatoa kabisa, nilikuwa ninaomba tu tuende nao extra time tukawanyooshe kama tulivyowafanya Bayern msimu uliopita.,.
 
Watu wameshaanza Ku hoji uthabiti wa timu za laliga kwenye uefa kama sifa wanazopewa barca na Madrid wanastahili au ni overhype tu.

Hizi timu mbili zinaweza kuwa zina uwezo mkubwa lakini mistakes zinazofanya na marefa ambazo mara nyingi zinakuwa ni faida kwao zinafanya watu tuone timu za kawaida tu ambazo kwenye hali ngumu huwa zinabebwa na marefa,

Ile hata kama ingekuwa ni penati halali pale refa angejaribu kutumia kile kipengele cha ref's privileged decision, mara nyingi maamuzi kama haya wanayatoa kulingana na pressure ya mchezo pamoja na muda wa tukio wa lenyewe.

Kabla ya kutoa wanapima uzito wa matokeo yake!! Na uhakika endapo kama refa asingetoa penati na mpira ukaenda extra time, kusingekuwepo na mjadala mzito kama ilivyo sasa hivi. Refa kapuyanga
Khaa, hii ya kwako ni kali zaidi., penalty ni penalty tu, so ulitaka refa apete kisa uzito wa matokeo!? sasa upande wa pili penalty inaponyinwa na wenyew itakuwaje!?
 
Huyu kaka tunamhitaji kwa kweli.
IMG_3502.JPG
 
Juve tulikuwa tunawatoa kabisa, nilikuwa ninaomba tu tuende nao extra time tukawanyooshe kama tulivyowafanya Bayern msimu uliopita.,.

Sahihi kabisa.

Hakika mashabiki wa baselona sasa hivi hamuwezi mkawacheka kwa lolote lile. Tayari wameshapata jibu la kuwanyamazisha.

Nyie mkianza kuwabeza sijui mko nusu fainali wao watawaambia bila msaada wa refa hata nyie mngekuwa nje tu kama sisi hivyo kaeni kimya.

Wakati kihalisia huyo JUVE hata hizo dakika za nyongeza alikuwa anaenda kufungwa tu, kwa jinsi walivyokuwa wamechoka wasingeweza kuhimiri dakika zote 30 bila kuruhusu goli. Game ile ingeisha hata kwa 3-1 au 3-2 wala hata isingefika matuta.

Naamini kabisa kwa jinsi game ilivyoisha kuna mashabiki wa real madrid imewakera japo mmepita.
 
Khaa, hii ya kwako ni kali zaidi., penalty ni penalty tu, so ulitaka refa apete kisa uzito wa matokeo!? sasa upande wa pili penalty inaponyinwa na wenyew itakuwaje!?
Hujaelewa hata point hasa ni ipi.

Football officiating ni uwanja mpana ambapo saikolojia inachukua sehemu kubwa tu. Na hapo kwenye saikolojia ni kuna kitu kinaitwa referee personal/privileged decision/opinion.

Sasa wewe kama umekariri penati ni penati tu huwezi ukajua hili.

Umewahi kujiuliza ni kwanini Mara kadhaa tumeona timu ambayo tayari iko punguvu uwanjani na iko nyuma kwa matokeo. Ikitokea wale wachezaji waliobaki wakacheza rafu, referee huwa anawaonya mara nyingi nyingi na anakuwa reluctant hata kutoa kadi kwa wale ambao tayari wana kadi za njano? Na wakati kisheria refa hatakiwi kumuonya mchezaji zaidi ya mara mbili. Mara nyingi tu tumeona kwenye elclasico casemero akionywa zaidi ya mara tatu na refa hapo baada ya Sergio ramosi kula red.
 
Lucas : “Cristiano passed it to me in the six-yard box and when I went to control it the defender hit me and I went down. I don’t think there is any discussion regarding that penalty. We have to be happy having got into the semi-finals, that is the most important. In terms of the arguing, after such a game and a penalty in the final minute… it’s normal that they contest it”.

“The Champions League is unforgiving and you have to focus for 90 minutes to be in the competition. We knew how to hold on and that goal from Cristiano was vital. Now whoever we face we must prepare well with good motivation and aim to get to the final”.

Marcelo: “We never stopped fighting”
“It was ten times more thrilling than a normal game. You never know what is going to happen in a game like that. We had to perform after those three goals and it is hard to come back against a team like Juventus, they can hit you on the counter and play well. we did it thanks to hard work, humility and the will to achieve more. Every game is different. Since arriving at Real Madrid they have taught me to believe until the last. I was behind the play for the penalty and I saw it as clear as day”.

Vallejo: “We believed up until the last”
“I was personally really looking forward to the Champions League at the start and at the end we got into the semi-finals, which is the most important point. We did not want it to go down like it did. We wanted to win for the fans, who cheered us to the hilt".
VALLEJO: "MY TEAMMATES REALLY HELPED ME".
"When Cristiano takes on the responsibility, you have to remain relaxed and keep your focus. I went for the follow-up just in case, but he tucked it away. In injury time, we held out well and were a real unit. After the break we didn't lose our nerve, we trusted in each other and the penalty perfectly summed up how we kept believing right until the end, even managing to score in injury time to get through to the semi-finals".

Champions League debut
"I want to thank my teammates, who helped me out a great deal. There are always areas to improve in. I like to watch the games back and analyse them, but I'm really happy. I hope to stay here for many years to come".

Atmosphere at the Bernabéu
"It was incredible, it's a unique experience. You can only really appreciate it when you're out on the pitch. I want to thank everyone who was supported me, because I'm in a really privileged position right now".
 
Real Madrid - Juventus
Zidane: "We knew we'd have to dig in but we deserved to go through"


"We had the chances to have scored more goals, particularly in the first half", declared the Whites' coach.
Zinedine Zidane spoke to the press gathered in the Santiago Bernabéu media room in the aftermath of the Juventus game, which saw Real Madrid progress into the Champions League semi-finals: “It wasn’t a strange game, but we didn’t expect to concede in the first minute. When that happens, heads drops and the opposition gain in confidence. They approached the game in the right way and we didn’t. We had problems controlling the game”.

“I knew we would be up against it, but I didn't expect what happened in the first minute. We knew that we'd have to dig in against a side that put in a great performance and that press high up the pitch. I didn’t see us going out because I’m a positive person. I told my players we were going to be troubled, that it would be tricky”.

The Cristiano penalty
“It was a penalty, they've told me it was a penalty. I didn’t see it. The ref awarded it and we can’t change that, but I think it was a penalty. Cristiano is used to these situations. He doesn’t feel pressure. He scored the penalty and we got the win”.

“There is nothing left to say. We’re in the semi-finals and we’re happy with that. They played well but we were just average, the difference is we kept believing until the end. We deserved to go through to the semi-finals over the course of the tie and we can be pleased with that”.

The tie
"They would have been expected to score in the first leg but they didn't. We had the chances to have scored more goals tonight. That's just the way it goes in football. The Champions League is the top competition and never can you go into games saying that you're going to win because look at what ends up happening to you".
I'M ALWAYS POSITIVE AND AT NO STAGE DID I SEE US GOING OUT.

"We had the chances to have scored more goals, particularly in the first half. We always believe that we're going to score because we've got players that are capable of scoring at any time".

Changes at the break
"We had to change something. I wasn't pleased with our set-up. It wasn't meant as a way of punishing Gareth (Bale) or Casemiro. We changed the way we played by introducing (Marco) Asensio and Lucas, who give us a lot of energy and we had to make the change".

Keylor Navas
"We mustn't point the finger at anyone. The goal was everyone's fault and we're all in this together".

Guardiola's comments
"I'm not going to respond to them. It was from last year and we progressed and went on to win the Champions League. The referees have a difficult job to do and we shouldn't comment on the refereeing. I've had opportunities to criticise them and I never do so. Tonight's was a penalty and we've got through".

Buffon's dismissal
"I don't think that he deserves to go out in this way, but there's no going back on it now. What happened at the end of the game won't change or take anything away from what he has done in the game. He's a magnificent player and this perhaps wasn't his last Champions League appearance".



MÁS NOTICIAS...
Cristiano Ronaldo: “We deserved the win”
Cristiano Ronaldo: “We deserved the win”
 
Anyway,
Hebu nijipe muda kidogo nikaiangalie kwa umakini mkuu.

Ila kwa mtizamo wa haraka haraka,

Sikuona Kama kuna contact yoyote ilotokea nyuma ya Vazquez.

Nlichokiona ni kwamba, Vazquez alipoteza balance alipo upokea mpira kifuani

Na pale ndipo beki wa juve, alipouwahi akafanya clearence kifuani kwake kabla ya Vazquez hajafanya maamuzi

Kitu ambacho nakiona ni jambo LA kawaida sana kwny mpira kwa mabeki wengi kufanya clearence za namna ile.

ANYWAY,
Mkuu, NTAITIZAMA TENA KWA UMAKINI ZAIDI MKUU ILI NIJIRIDHISHE.


Mkuu yule beki asingecheza faulo Vazquez angefunga goli tamu sana. Hili sio swala la mitazamo, ni jambo ambalo limetokea na ushahidi upo. Kwanini usiangalie tena mara mbili?
 
Mkuu Deep Pond ,umeongea vema ila tu unaongea na hawa majeruhi waliokwisha kata tamaa ikatokea blunder ya refa wakaokoka,watatoa kila aina ya uchambuzi kusafisha uchafu wa oliver ila mwisho wa siku watasema ni penalty.
Siku hizi wanaoharibu ubora wa mechi kubwa wamekuwa ni marefa,inakera sana.
 
Mkuu Deep Pond ,umeongea vema ila tu unaongea na hawa majeruhi waliokwisha kata tamaa ikatokea blunder ya refa wakaokoka,watatoa kila aina ya uchambuzi kusafisha uchafu wa oliver ila mwisho wa siku watasema ni penalty.
Siku hizi wanaoharibu ubora wa mechi kubwa wamekuwa ni marefa,inakera sana.


Toa sababu kwa nini ile sio penalty.
 
Hongereni Madridistas wote humu ndani, hatuna budi kujipongeza baada ya kazi nzito., sie tujipongeze tu huku tukiwaza next step itakuwa Vp, kuna watu walituombea sana njaa baada ya team zao kutolewa hao ndio wanaongelea mambo ya penalty, sie muhimu ilikua ni kuanga mbele kwa vyovyote vile., bahati nzuri tumefanikiwa...., [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG].,
Hala Madrid. Watu wanaendekeza chuki binafsi bila kuitafsiri ile situation
 
Sijawahi kushuhudia mbeleko kama wa Jana kwenye UEFA what a joke?Haha Madrid
 
Hongereni Madridistas wote humu ndani, hatuna budi kujipongeza baada ya kazi nzito., sie tujipongeze tu huku tukiwaza next step itakuwa Vp, kuna watu walituombea sana njaa baada ya team zao kutolewa hao ndio wanaongelea mambo ya penalty, sie muhimu ilikua ni kuanga mbele kwa vyovyote vile., bahati nzuri tumefanikiwa...., [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG].,
Hivi yule refa jana mlimuahidi bei gani? Dah hadi sahivi siamini mafekeche aliyoyafanya pale mwishoni, anastahili pongezi kwakweli
 
Wale wanaoamini kwenye Historia za Soka.
Uefa 1981
Timu 4 kutoka
England
Germany
Italy
Spain

Nusu Fainali
Liverpool vs Bayern Munich (1-1 agg.)
Intermilan vs Real madrid (1-2 agg.)


Fainal
Liverpool vs Madrid (1-0)
 
Back
Top Bottom