Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kwa anae kataa kuwa ile sio Penalty, atuwekee maoni yake kuhusu lile tukio...!!

Lakini wachambuzi wamekili kuwa ile penati ni halali.
 
Hakuna mchambuzi yeyote wa soka duniani akaichambua foul ya Leo tuliyopata penalty nikamuelewa..kikubwa tumebebwa hakuna ubishi na kwenye soka mambo kama haya yapo. This was a big game and referee should be very keen in decision.. Michael Oliver kafeli kwenye kuweka ile penalty, nauhakika tungepita kwa goli zuri tu kama tungeenda 120.
 
Wakuu,

Kiukweli mm ni madrid fan, Damu Damu

Ila kiuhalisia, Bila kutanguliza mahaba mbele.

HII GAME YA LEO, MADRID TUMEFUZU KWA MBELEKO YA MAREFA.

SIJAFURAHISHWA KABISA NA KILICHOAMULIWA NA MAREFA, IJAPOKUA KIMELETA POSITIVE IMPACT KWETU.

KIKUBWA NASHKURU MUNGU,

TUME QUALIFY FOR SEMI-FINAL

Honestly;
**PENALT KICK HAIKUAPATIKANA HALALI***
Mkuu nina mashaka na knowledge yako ya soka, sheria ni sheria haingalii muda, game au nani katenda.

Itakua ata goli la Sane jana lililokataliwa unaamini ni goli.

Hii pk ya leo ni pk halali kabisa, hata ingekua katikati ya uwanja bado ingeitwa faulo. Tatizo leo imetokea kwenye game kubwa, ndani ya box na muda mbaya ila Ile Ni faulo na unajua faulo ndani ya box maana yake Nini

Kama jana goli la Sane lilikataliwa sababu alimuingilia Milner nyuma, leo Vasquez kasukumwa kabisa toka nyuma, ni vp isiwe foul

Otherwise unataka baadhi ya sheria zisiwe zinatumika kwenye baadhi ya matches.
 
Pia,
Twaweza shuhudia hata mpaka Vazquez mwnyw baada ya kuanguka.

hakulalama wala kuiomba ile penalt

Pia hata Rinaldo aliekua pembeni ya Vazquez, hakustuka wala kulalama kupewa penalt.

Kwa maana, twamjua kabisa ni jins gani ronaldo alivyo attention kwny matukio muhimu kama Yale.

Na wala hata Juve nao,
Hawakua na hofu kabisa kama ilistahili kua penalt.

UKIWA KAMA MWANA MICHEZO& MWANA MADRID FAN

Huwezi sherehekea sana ushindi wa Leo,

Ni kumshukuru MUNGU TU kwa kilichotokea, maana lengo limetimia LA kufuzu.

SOMETIMES SIO VEMA KUTANGULIZA MAHABA KWENYE UHALISIA.

WEE MWENYEWE TU, UTAJIKUTA NAFSI INAKUSUTA.
Braza why stressing yourself!?
Haikuwa mechi nzuri ila mwishoni tumepata penalty na tumepita.

Wacha tufurahi tuwaze next mechi hapa
 
Mzee Jecha jana kapiga mkwanja wa nguvu huko Roma. Sasa Nasikia Juventusi wanamtafuta Mzee Jecha kakimbia na pesa zao...
 
Mkuu nina mashaka na knowledge yako ya soka, sheria ni sheria haingalii muda, game au nani katenda.

Itakua ata goli la Sane jana lililokataliwa unaamini ni goli.

Hii pk ya leo ni pk halali kabisa, hata ingekua katikati ya uwanja bado ingeitwa faulo. Tatizo leo imetokea kwenye game kubwa, ndani ya box na muda mbaya ila Ile Ni faulo na unajua faulo ndani ya box maana yake Nini

Kama jana goli la Sane lilikataliwa sababu alimuingilia Milner nyuma, leo Vasquez kasukumwa kabisa toka nyuma, ni vp isiwe foul

Otherwise unataka baadhi ya sheria zisiwe zinatumika kwenye baadhi ya matches.
Anyway,
Hebu nijipe muda kidogo nikaiangalie kwa umakini mkuu.

Ila kwa mtizamo wa haraka haraka,

Sikuona Kama kuna contact yoyote ilotokea nyuma ya Vazquez.

Nlichokiona ni kwamba, Vazquez alipoteza balance alipo upokea mpira kifuani

Na pale ndipo beki wa juve, alipouwahi akafanya clearence kifuani kwake kabla ya Vazquez hajafanya maamuzi

Kitu ambacho nakiona ni jambo LA kawaida sana kwny mpira kwa mabeki wengi kufanya clearence za namna ile.

ANYWAY,
Mkuu, NTAITIZAMA TENA KWA UMAKINI ZAIDI MKUU ILI NIJIRIDHISHE.
 
Na laiti yule beki kama ule mpira angeugusa basi isingekuwa penalty
 
Anyway,
Hebu nijipe muda kidogo nikaiangalie kwa umakini mkuu.

Ila kwa mtizamo wa haraka haraka,

Sikuona Kama kuna contact yoyote ilotokea nyuma ya Vazquez.

Nlichokiona ni kwamba, Vazquez alipoteza balance alipo upokea mpira kifuani

Na pale ndipo beki wa juve, alipouwahi akafanya clearence kifuani kwake kabla ya Vazquez hajafanya maamuzi

Kitu ambacho nakiona ni jambo LA kawaida sana kwny mpira kwa mabeki wengi kufanya clearence za namna ile.

ANYWAY,
Mkuu, NTAITIZAMA TENA KWA UMAKINI ZAIDI MKUU ILI NIJIRIDHISHE.
Beki wa juve haku ugusa mpira na ndio maana ilikiwa penalty.
 
Back
Top Bottom