Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
January hii apa tuna fanya usajiri tuna fukia mapengo mwendo mdundo ktk miaka zaid ya kumi hatuja wahi kua na team bora zaidi ya hii Benz asepe zake ila kwa Zizu bado cja kubaliana na ww makosa mengine cio ya coach ni mchezaji binafisi na bahati pia jana tume gonga besela mara tatu kumbuka
Ok!...ngoja tuone Board ya team itaafanya usajili upi hapo january, ila kwangu mie kama zidane atabakia pale bernabeu inabidi abadili mwenendo na mbinu za mchezo wa madrid na sio kwa dizaini hii tunayokwenda nayo ila mbali na hapo kutakuwa na tatizo tena kubwa tu, pia ningefurahi kuona tunasajili KIPA Na BEKI WA KATI MMOJA...Maana ukiangalia vizuri katika beki zetu za kati yani varane na Ramos...ni ukweli ulio wazi na utagundua tayari Ramos kiwango chake kimeshuka yani anaacha mashimo mengi sana eneo lake hadi varane yanamshinda kufukia...kama uliona moja jana kuna shuti moja kaliblock varane pale kati ya goli kabisa ata kipa alikuwa keshapotea kabisa.