Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tetesi
MAN UNITED YACHUANA NA REAL KUMPATA HAZARD

Manchester United wamejipanga kupigana vikumbo na Real Madrid kwa ajiliya saini ya Eden Hazard, kwa mujibu wa Sun .
Hazard na bosi wa United wamefanya kazi pamoja wakiwa Chelsea, na kufanikiwa kunyanyua taji la Ligi Kuu msimu wa 2014-15.
Na gazeti hilo limedai kuwa United watatoa dau la paundi milioni 90 kwa ajili ya mchezaji huyo msimu ujao.
 
Tetesi
Real Madrid wana hamu ya kumsajili beki wa kushoto wa Fulham na Uingereza Ryan Sessegnon.
Manchester United na Tottenham pia zina hamu ya kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17 (AS via Talksport)
 
Tetesi
Mabingwa wa Uhispania Real Madrid pia wanamtaka kipa wa Chelsea Thibaut Courtois na timu hiyo ya ligi ya Uingereza iko tayari kumuuza mchezaji huyo wa Ubelgiji iwapo atakataa kandarasi mpya katika uwanja wa Stamford Bridge (Sky Sports)
 
Tetesi
MADRID YAMFUKUZIA UMTITI WA BARCA

Real Madrid wanafikiria kumsajili beki mahiri wa Barcelona, Samuel Umtiti, kwa mujibu wa Diario Gol .
Rais wa Madrid Florentino Perez anataka kusajili beki mpya wa kati, lakini ameanza kupata hofu ya kutoa hela ndefu baada ya Liverpool kutoa £75 milioni kwa ajili ya Virgil van Dijk.
 
Tetesi
RONALDO KURUDI MAN UNITED?

Manchester United wanafuatilia kwa karibu ripoti za tofauti baina ya Cristiano Ronaldo na viongozi wa Real Madrid, kimedai Mirror .
Magazeti yanasema kuwa uhusiano baina ya Ronaldo na Florentino Perez umevunjika, jambo linaloleta shaka juu ya mustakabali wake Bernabeu.
Na United wanaweza kupata fursa ya kumrejesha mchezaji waliamjenga wenyewe ikiwa atakataa kubaki Hispania.

Imedaiwa kuwa Ronaldo amekuwa akifanya safari za siri kwenda Uingereza na kuangalia shule binafsi kwa ajili ya kijana wake wiki za hivi karibuni.
 
Tetesi
MADRID YAIPA SPURS BALE ILI KANE ATUE BERNABEU

Real Madrid wapo tayari kuwapatia Tottenham fedha pamoja na mchezaji wao wa zamani Gareth Bale ili waweze kuipata saini ya Harry Kane, kwa mujibu wa Daily Star .
Kane ameisafisha njia yake kwenda kujiunga na klabu hiyo yenye hadhi kubwa Ulaya kwa kiwango chake safi 2017, akiwapiku Lionel Messi na Cristiano Ronaldo katika kipindi cha miezi 12.
 
Bad news kwa Real Madrid fans: karim Benzema has suffered a hip injury and will be out for 3 or more weeks. It means he'll miss 2 legs of Copa del Rey matches against Numancia and La Liga games against Celta Vigo, Villarreal and Derpotivo. Hili ni pigo kubwa kwa Zenedine Zidane.
 
Screenshot_2017-12-31-17-00-43.png
 
Bad news kwa Real Madrid fans: karim Benzema has suffered a hip injury and will be out for 3 or more weeks. It means he'll miss 2 legs of Copa del Rey matches against Numancia and La Liga games against Celta Vigo, Villarreal and Derpotivo. Hili ni pigo kubwa kwa Zenedine Zidane.
Unashauriwa kutumia sarcastic font ili watu wasichanganyikiwe🙂🙂🙂
 
Hala Madrid and nothing more
The history you've made
the history you'll make!
Because no one can resist
your willingness to win!

The stars are now coming out!
My old Chamartín... (1)
From far away and from nearby
you gather us all here!

I wear your shirt
right next to my heart!
The days you play
are everything I am!

"The Arrow" is running! (2)
My Madrid is attacking!

I am struggle! I am beauty!
The cry I learned:

Madrid! Madrid! Madrid!
Hala Madrid! (3)
And nothing more! And nothing more!
Hala Madrid!

(1) The Santiago Bernabéu Stadium was formerly called "Chamartín Stadium", because it is located in Madrid's Chamartín District. [More about Santiago Bernabéu Stadium]
(2) Refers specifically to "la saeta rubia" ("the blond arrow"), a nickname given by journalists of the time to Alfredo DiStefano, an Argentinian-born, mythical footbal player who won 5 European Cups with Real Madrid. Probably one of the best players in history. DiStefano is now Real'Madrid's Honorary President, and considered a "symbol" of "madridismo". "Saeta" is a fairly uncommon word for "arrow", "flecha" is more common. [More about Alfredo Di Stéfano]
(3) "Hala Madrid" is difficult to translate exactly. It means something like "Go, Madrid!", "Forward, Madrid!".. The Word "Hala" has an arab origin, I've been told that in Arab it is also more or less equivalent to "let's go!", or "come on!". If so (that I can't say for sure, as I don't speak Arab) its meaning hasn't really changed much in the Spanish version
 
So, this is all you could manage after mourning for several days?
 
Back
Top Bottom