Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,163
Mwanangu hili chama ukiachana na The Blues nawakubali vibaya mnoo.. Nina mahaba na Madrid vibaya mnoAsee we jamaa una kisirani hadi madridogs upo....??
Mwanangu hili chama ukiachana na The Blues nawakubali vibaya mnoo.. Nina mahaba na Madrid vibaya mnoAsee we jamaa una kisirani hadi madridogs upo....??
On the seventh day GOD took a rest,on day eight he created Messi![]()
FununnuTetesi
REAL YASAKA MNUNUZI WA RONALDO
Real Madrid ipo tayari kumuuza Cristiano Ronaldo ikiwa itatokea timu yenye dau nono Diario Gol .
Licha ya kuendelea kuongeza mataji kwenye klabu hiyo ya Hispania, kuna hisia ndani ya Santiago Bernabeu kuwa Mreno huyo nguvu zake zinaanza kufifia.
Huyu mbirikimo kafika vp apaWatu na kufuru zenu buana
We umefufuka????AS | Kepa as already signed his Real Madrid contract likely to be for 6 seasons. It has 2 joining dates - Jan 2018 & June 2018. Zidane decide when Kepa will arrive.