Innocentinno
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 354
- 312
Pambaneni na hela yenu inayokaa nje miezi 4 bila cha maana ilichofanya [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuoneni hapa kazeni buti bana hatutaki kuchukua kikombe mapema sisi bana
Pambaneni na hela yenu inayokaa nje miezi 4 bila cha maana ilichofanya [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuoneni hapa kazeni buti bana hatutaki kuchukua kikombe mapema sisi bana
Gloating is not cool mkuu.Pambaneni na hela yenu inayokaa nje miezi 4 bila cha maana ilichofanya [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vijana wamepiga kazi kweli kweli!! Ninapenda team inavyojituma, wanaonekana kabisa wanataka nin!!Mayoral and Theo with impressive first half performance.
Hilooooooo la tatuHatuko vibaya sana..ila tupige la 3 hapa kukata tumaini lao.
Hahahahahaha mara hii imekuwa laini?Hii timu sikutegemea ingekuwa laini hivi!!
Ndio hhivyo Mkuu, wamekuwa walaini sasa hiv ama!?Hii timu sikutegemea ingekuwa laini hivi!!