Tulijigamba mwanzo wa msimu tuna kikosi kilicho kamilika kuanzia walio dimbani hadi benchi. Hichi ni kipimo mahususi, sijaona mapungufu yeyote katika kikosi. Benchi linaweza jaza nafasi za waliopungua.
Bale atabeba mikoba ya CR7 (natabiri bale kufunga shuti la mbali). Asensio curler, Isco x2 na header au rebound moja. Mechi itakua ya magoli mengi kama ZZ akianza na mfumo wa kupata matokeo upesi.
Mwisho, hakuna haja ya kunadili mfumo, 4-3-1-2 ndio identity yetu kwa sasa.
Hala Madrid

leo