nguluviyihuvye
Senior Member
- Oct 13, 2011
- 173
- 213
Hope is not that badIt seems that Theo hurt his shoulder
Hope is not that badIt seems that Theo hurt his shoulder
Hahaha, wajamaa walijitahidi sana kupiga kelele, wajaribu kwa wale vibonde wao wa Katalunya.Sociedad wameweka jukwaa la dharura pale nyuma ya goli. Ni kazi bure tu
Tutaanza na Real Betis wanakuja Jumatano kutusabahi, so Wajapan sasa ndio tumekata njia hivyo, yaani ni dose juu ya dose.Cjui week ijayo nani atatuzuia kufunga goli aise na mnyama anakuwa karudi
Shukran sana Mkuu na wew kwa kufuatilia game zetu, upo vizur kwa kweli!!Game zuri wakuu. Hongereni.
Hapo sasa lazima world Guinness book ibadilishwe jina na kuandikwa Real Madrid [HASHTAG]#Hala[/HASHTAG] MadridCjui week ijayo nani atatuzuia kufunga goli aise na mnyama anakuwa karudi
Naunga mkono hojaKuanzia leo nategemea Benzema awe anapata dkk 10-15 pekee za mwisho.
Hahaha, wajamaa walijitahidi sana kupiga kelele, wajaribu kwa wale vibonde wao wa Katalunya.
Atii wawatie wachezaji wao hamasa, sasa ninajiuliza kuna siku walishafanya vile wakafanikiwa ama ndio wamejaribu leo? Kazi kweli kweli.Mpaka walimuumiza Cameraman, watawekaje jukwaa nyuma ya nyavu kama Ndondo Cup!!!
Vibonde ambao hawana sare yeyote wala loose yeyote mpakaa sasaaHahaha, wajamaa walijitahidi sana kupiga kelele, wajaribu kwa wale vibonde wao wa Katalunya.