Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #32,521
Kevin Rodrigues has equalized for Real Sociedad.
1-1
1-1
Mnazi wa Real upo?huu msimu hesabia ni titleless labda spain and UEFA Supercup tuTheo Hernandez top speed 33.4 km/h
Sawa shekh Yahaya ila huwa unapotea mambo yakikuendea kombo toka super copa nakuona leo tena karibu sanaMnazi wa Real upo?huu msimu hesabia ni titleless labda spain and UEFA Supercup tu
Nakuoneni hapa kazeni buti bana hatutaki kuchukua kikombe mapema sisi banaSawa shekh Yahaya ila huwa unapotea mambo yakikuendea kombo toka super copa nakuona leo tena karibu sana
Mnazi wa Real upo?huu msimu hesabia ni titleless labda spain and UEFA Supercup tu
Naona amegundua jamaa ni fifth columnHalafu zidane ameshaanza kuchuja nini utamuachaje mchezaji mwenye uzoefu kama Benzema?![]()
Halafu forward wetu Danillo amemuuza wapi Zidane???Naona amegundua jamaa ni fifth column


Dogo fighter sana. Nimependa timu zimweweka mpira chini, zinasakata.Kijana wangu Borja wala hajaniangusha kabisa, ndio hivyo vijana wetu wanafanya mambo!!
Muhimu ni kuongeza goli ili tujiweke safe zaidi.