Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #32,561
That was typical Gareth Bale. Pace, strength and composed finish out of nothing.
Sikutegemea wale tatu kwao. Madrid leo walikuwa ndiyo underdog.Hahahahahaha mara hii imekuwa laini?
Hahaha, ngoja tuone kikosi chote kikitimia man, tutajua ni nani atakuwa anachoma ushindi zaidi.Kuanzia leo nategemea Benzema awe anapata dkk 10-15 pekee za mwisho.
Ilikuwa nusu aingie na goli aisee, hakuwa tu makiniMayoral Off and Lucas Vazquez On
Mpaka sasa mchawi wetu ni Benzema. Haiwezekani forward ukose nafasi tano mechi moja.Hahaha, ngoja tuone kikosi chote kikitimia man, tutajua ni nani atakuwa anachoma ushindi zaidi.
Ilikuwa nusu aingie na goli aisee, hakuwa tu makini